Samsung calaxy s2 kaaaaaaaaaaaa

Samsung calaxy s2 kaaaaaaaaaaaa

Joined
Aug 8, 2013
Posts
65
Reaction score
1
Wadau simu hii inastaki mara kwa mara na nmei store so muda xaxa nifanyeje jamaaan ili isisumbue hasa wakati wa kupiga inamkwama snaaa
 
upgrade firmware kwenda jellybean utaenjoy the phone
 
Calaxy s2 ni simu gani? Kuna Samsung Galaxy SIII na S4
 
Wadau simu hii inastaki mara kwa mara na nmei store so muda xaxa nifanyeje jamaaan ili isisumbue hasa wakati wa kupiga inamkwama snaaa



Hii samsung calaxy s2 ipo ama ulikosea kidogo kwenye uandikaji?
 
sio calax mkuu ni galaxy s2 au sII ndivyo inavyoitwa. kuhusu ku stack je imeanza hivi karibuni au muda mrefu mana mimi ninayo hiyo simu kwa miaka miwili sasa na haijawahi kunisumbua zaidi ya kuibadilisha betri yake tu.

inawezekana software yake inahitaji kuwa updated au ni network tu za mitandao yetu ya kibongo.
 
Simu yangu ni samsung galaxy duos. Gt-s7562 tangu ni upgrade firmware imekuwa na sauti ya juu sana ya kuongea hata nikipunguza mpaka minimum volume.
Bado sauti inakuwa juu, ni kama vile option ya volume up and down haifanyi kazi.
Nisaidieni hapo wadau!
Thanks.
 
Mi nauza gallax3 ipo kwenye hali nzuri xana ,pamoja na blackberry curve 9380 mwenye kutaka ani pm poa
 
Back
Top Bottom