Huo ni wizi unahamasishwa. kwa nini uwe na simu yenye account ya mtu kama umeinunua kihalali.?? Sikufichi ndugu yangu wapaswa kuchukuliwa hatua kwa hicho unachokifanya. Tunaibiwa simu kila kukicha unasema kama simu imetoka nje ikiwa na account ya mtu how yani?