Arsenalist1
Senior Member
- Jul 13, 2015
- 163
- 50
Nenda Google andika hivi, "download Google installer apk" then uta search ukiipata hiyo apk install then fuata maelekezoHabari za jioni wadau....kuna sim mpya imenunuliwa Hong Kong imekuja mpya kabisa lakini haina Google services, aplication zone zilizobaki zinakubali apart from application za Google services... (Gmail, play store,.... )..naomba msaada wenu
Nilijaribu, haikubali..inandika not compatibleNenda Google andika hivi, "download Google installer apk" then uta search ukiipata hiyo apk install then fuata maelekezo
Maelekezo yoote haya hapaHabari za jioni wadau....kuna sim mpya imenunuliwa Hong Kong imekuja mpya kabisa lakini haina Google services, aplication zone zilizobaki zinakubali apart from application za Google services... (Gmail, play store,.... )..naomba msaada wenu
Asante sana kaka nashukuru....steps zone nimefata kama maelekezo, Ila vending imekata
Playstore ni moja Kati ya app za Google. .so haipo piaIngia playstore ucheck idownload
Kama hizo option zote zinagoma flash new rom tu.Habari za jioni wadau....kuna sim mpya imenunuliwa Hong Kong imekuja mpya kabisa lakini haina Google services, aplication zone zilizobaki zinakubali apart from application za Google services... (Gmail, play store,.... )..naomba msaada wenu
Kama zote zimegoma huna jinsi inabid u flash custom recovery kama TWRP,then uta download GApps ili u flashNilijaribu, haikubali..inandika not compatible
Muongozo wa kufanya hilo tafadhaliKama hizo option zote zinagoma flash new rom tu.
Steps mkuuKama zote zimegoma huna jinsi inabid u flash custom recovery kama TWRP,then uta download GApps ili u flash
Taja full model ya hiyo A7Muongozo wa kufanya hilo tafadhali
Msaada bado nasubiriTaja full model ya hiyo A7
Bro hapo nishida..Msaada bado nasubiri
Sawa nitaangaliaBro hapo nishida..
Fanya kujaribu kitu kimoja japo ni risk,download global firmware kisha flash humo ,ikikubali hapo flesh ikigoma itabid uangalie kama kuna custom rom uweke