Cc: Chief-MkwawaHabari zenu wakuu, kwa wataalam wa simu nina Simu Ya Samsung A5 inajizima inapopata ubaridi sana sana nyakati za usiku na ikashajizima inasumbua kuwaka yani nikiiwasha inaishia kwenye logo ya Samsung na kujizima. Na haiwaki tena mpaka niiweke sehem yenye joto ipate joto ndio iwake. Kwa waatalam wa simu shida inaweza kuwa ni nini hapa.
Haupo Tanzania mkuu?Habari zenu wakuu, kwa wataalam wa simu nina Simu Ya Samsung A5 inajizima inapopata ubaridi sana sana nyakati za usiku na ikashajizima inasumbua kuwaka yani nikiiwasha inaishia kwenye logo ya Samsung na kujizima. Na haiwaki tena mpaka niiweke sehem yenye joto ipate joto ndio iwake. Kwa waatalam wa simu shida inaweza kuwa ni nini hapa.
Mkuu ninavSamsung S7 ilipata UFA kidogo sana nyuma ya Simu lakini cha Ajax UFA unaongezeka kila siku Tatizo niniHaupo Tanzania mkuu?
Ni kawaida kwa battery kujizima na kusababisha simu izimike au mwanga wa simu kuwa mdogo pale baridi inapokuwa kali sana, hapa tunazungumzia ile baridi ambayo nyuzi zinakuwa negative,
Tatizo UFA mkuuuMkuu ninavSamsung S7 ilipata UFA kidogo sana nyuma ya Simu lakini cha Ajax UFA unaongezeka kila siku Tatizo nini
Namaanisha imekreki imeleta mstar kama wa kupasukaShida huu mstari unazudi kuongezekaTatizo UFA mkuuu
hio ndio tabia ya ufa, ukitokea hauwi hivyo hivyo utakuwa hadi ufikie mwisho.Mkuu ninavSamsung S7 ilipata UFA kidogo sana nyuma ya Simu lakini cha Ajax UFA unaongezeka kila siku Tatizo nini
Nimekupa Chiefhio ndio tabia ya ufa, ukitokea hauwi hivyo hivyo utakuwa hadi ufikie mwisho.
Mkuu baridi ni ya kawaida tu ya hapa TZHaupo Tanzania mkuu?
Ni kawaida kwa battery kujizima na kusababisha simu izimike au mwanga wa simu kuwa mdogo pale baridi inapokuwa kali sana, hapa tunazungumzia ile baridi ambayo nyuzi zinakuwa negative,
Ni Expansion joint,huwa tunatumia kuzuia madhara ya mitetemo kwenye simu kubwa kubwa kama S7,kwa hiyo shaka ondoaMkuu ninavSamsung S7 ilipata UFA kidogo sana nyuma ya Simu lakini cha Ajax UFA unaongezeka kila siku Tatizo nini
ππππNi Expansion joint,huwa tunatumia kuzuia madhara ya mitetemo kwenye simu kubwa kubwa kama S7,kwa hiyo shaka ondoa
Tangu 2018 natumia Samsung, sijawahi kupata hayo majangaSimu za Samsung majanga
Basi ulibahatika mkuuTangu 2018 natumia Samsung, sijawahi kupata hayo majanga
MAYBEBasi ulibahatika mkuu