SAMSUNG 32 inch Flat screen on sale



Pumba hizo.
 
Hata Mimi nasubiri Maelekezo ya sehemu lilipo hilo duka la Freedom Electronics lakini naona Kiiiiiiiimyaaaaa!!!

Nadhani hili duka Freedom Electronics lipo along Samora Avenue ....karibu na JM Mall, opposite na tawi fulani la NBC bank. Pia wana duka jingine kama nakumbuka along Zanaki street kwenye kona ya kuelekea Kisutu Sec School na ule mtaa wenye misikiti ya wahindi.
 

Mkuu huko freedom ni wapi asee??
Mkuu majibu hapo juu kwenye bluu kutoka kwa deny_all
 
Asante sana Mkuu kwa Maelekezo,Cheers!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…