Samson Mwigamba: CHADEMA ndumilakuwili

Kenya nako Gia angani
Uchaguzi uliopita kwa Raila, Mwaka huu gia angani wakahamia kwa Uhuru
Tungoje chaguzi zijazo

Gia angani!
 
Huyo mwigamba hana tofauti na changudoa! ni hela yako tu atafanya uyatakayo
 
Ni uzi mrefu lakini nimesoma wote sijaona jipya aliloeleza Mwigamba. Ametoka CDM akajiunga ACT, na sasa yuko CCM, ndiyo amefika au anaangalia upepo?
Siyo ametoka CDM akajiunga na ACT, kalitoka CCM > CDM > ACT > kamerudi tena CCM.
 
Ukiona mtu kwa muda wa miaka mitano ana hama hama kufikia vyama vitatu tofauti mwogope kama ukoma.
 
Kwani yupo huyo MM ngapi vile atukumbushe!! Alinichekesha siku anahojiwa juu ya mpango wao mbaya wa kuasi, huyu jamaa kweli chizi.
 
Wanasiasa bhana jamaa kaamua kupiga ambapo mkuu anataka kusikia kunanukaa eeh
 
Atafute Simu ya huyo mwanasheria ampigie maana naona Chadema imepoteza muelekeo wake wa awali.
 
Ndumila kuwili ni tumbo la sivyo angebaki chama kimoja sio kuhama hama kila siku
Hii ni sawa na kumkimbia mke halafu unaanza kumsengenya. Kama ameshatoka aanze kujenga maisha mapya bila vinenoneno visivyo na mpango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…