Samson Mwigamba: CHADEMA kuna ubaguzi

Eti mtuchangulie Msaliti Zitto uenyekiti, hatufanyi uchaguzi hadi 2016, kama hamtaki muondoke tu. Hii mmefail tena

Na chama chenu kitaishia Hedaru na Karatu tu watanzania wameshastuka
 
Kwa hili lililotokea ndani ya chadema, kwa kweli ni aibu ya chama, tunawafundisha nini watanzania? Bado natafakari sana juu ya kile kilichotokea huko Arusha!

Kwamba usaliti ni jambo baya,Kwamba kilichotokea Arusha ndio mshahara wa wasaliti wote.Msaliti hatabaki ndani ya CDM Period.
 
Wana jf.
Kwa ck za karibuni baadhi ya watu wameshindwa kujadili hoja zinazopositiwa humu na badala yake wanajadili watu.

Hoja za Mwingimba zimeshika kasi jadidi.ni haki yake kupata na kutoa habari.
Nia yake kwa macho matatu ilikuwa nzuri kwa cdm?
Kama ni katiba kuvunjwa uthibitisho wa nani kaivunja uko wapi?
Jf ni sehemu sahihi ya kuleta mambo ya ndani ya cdm yy kama kiongozi?
 

Ni kweli nyie ndiye wafu wa kwanza hamjazikana mtamzika nani?itirafu zilizopo chadema zina madhara yapi kwa wtanzania wanaokula mlo mmoja kwa sku?
Mngekuwa na akili timamu mngejadiri matatzo yanayolikumba taifa yakichangiwa kwa kiasi kikubwa na ccm yenu marehemu mtarajiwa,watu wanafariki dunia kwa kukoswa huduma za msingi za kiafya,matumizi makubwa ya serikali yasio na tija kwa wananchi,mnakesha mkisugua midomo yenu kwa mambo yasiyo na tija kwa watanzania.
 
Hoja sio kunena.
shirikiana naye kuthibitisha pasipo kuacha shaka.
Nia yake ni ovu.
Mzee wa pesapesa mzee Ndesa Ndesa ni mwenyekiti wa cdm mkoa kwa miaka mingapi?
Kijana usitumike vibaya kama Mwigimba.
Ndio maana yake kila mtu hujua Hilo! Mwigamba Kanena point lakini CDM hawakubali ukweli!

CDM jifunzeni kukosoa na kukosoana!
 
Inawaziba pumzi watu wa kanda ya ziwa kama vile Amani Kabouru, Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Samson Mwigamba, Shibuda, Mkosamali, Shitalamba.kwa nini wananyanyasika wa kanda ya ziwa tu?
 

kwanza kabisa kama angekua na nia njema.Angeupost huo uzi wake kwa ID kamili.Au angefile official complaints kwa uongozi,tena kwa dispatch.Huyo ni mpuuzi ambaye mimi siwezi mpahata muda wa kumjadili.Kwa level ya kiuongozi aliyofikia siwezi kumuelewa.Atuambie kama alikua anaingia kwenye vikao alikua anaongea nini?Vinginevyo huu ni udhaifu mkubwa sana kiuongozi.Hawa ndio wale darasani huwa wanakaa mwisho kuogopa maswali ya walimu,wasipoelewa hawaulizi,wakifeli wanadai wamefelishwa.
 
Inawaziba pumzi watu wa kanda ya ziwa kama vile Amani Kabouru, Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Samson Mwigamba, Shibuda, Mkosamali, Shitalamba.kwa nini wananyanyasika wa kanda ya ziwa tu?
wasaliti wote CDM lazima wanyonywe mav. hata kama wote wangetokea kanda ya kati achilia mbali kanda ya ziwa. wachukueni ninyi huko kwenye li-ccm lenu la wauza sembe mkajangili nao pembe za ndovu na kunyang'au kodi za mafukara wadanganyika.
 
Sasa si aondoke akaanzishe lichama lao,usaliti noo cdm,ambaye anaona ndani ya cdm hakuna demokrasia aondoke aende ccm.mtu mzima ananunuliwa kwa trip ya Uk, je akipewa hammer si ndio ataiuza nchi kabisa..usaliti noo cdm anaetumika kuibomoa cdm asije akawalaumu wana cdm..cdm ni zaid ya mbowe,slaa,zitto nk..mimi mwanachama hai wa cdm nashauri uchaguzi ufanyike baada ya general election.
 
Mbona ufalme hata CCM upo?Baba,Mama,na watoto wote wameingia NEC.
 
waganga njaa endeleeni kujifariji lakini huo ndio ukweli wenyewe!!!!!! Na kama mna uhakika na Mbowe wekeni uchaguzi mkuu muone!!!!
 
Mwigamba ana mtindio wa ubongo ama alichelewa kupiga hesabu, maana inaleta maswali mengi kuwa alikuwa wapi siku zote kugundua haya? same old politicians ...puppets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…