Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,602
- 830,327
Inawezekana kabisa kijana aliyefuata boda yake kwasunga. Hatunaye tena kama yule Bin Saatisa alyewahi kuambiwa atakutana na chato akiwa mwenyewe pekeyake
Huyu naye kwa taarifa rasmi kabisa aliambiwa.. Hivi karibuni tutamalizana n wewe😭😭😭...!!! Waoga na waovu huogopa mno hata vivuli vyao..ni watu wa kujistukia na kujitengenezea hofu isiyopo.. Wanahukumiwa na nafsi na wanawindwa na damu isiyo hatia!
Kuna manii zilizokosea njia nazo zikatungwa mimba bila baraka za kiroho.. Ni manii uhai kasorobo hizi ndio zinaitesa dumia kwa ujumla wake na kwa mada hii Tanganyika🤬
Shekeli hupofusha macho, kutia masikio ukiziwi na kufubaza ufahamu.. Unabii hutimia kwa mateso na gharama kubwa sijui kwanini?
Kuna kambi za siri za mateso makali, manyanyaso dhuluma na mauaji kwa wanakaya dhaifu dhoofu wanaofanyiwa hayo yote na wenye nguvu ya shekeli na mamlaka! Mbingu zinatazama na zinaona!
Cha(ki)chaka Cha Majambazi( maharamia) ama Mumiani.. Kina hofu kubwa sana.. Hofu ya kupokonywa ulingo na mamlaka! Hofu ya kuvuna walichopanda!
Ogopa sana montana mkali aliyejeruhiwa na anayekaribia kukata moto! Huyu hana cha kupoteza tena bali hutafuta wa kuondoka nao!
Chaka la mumiani linatumika na mwanajangwa bila kujua kwamba kutumika daima kuna kikomo na ukomo wake ni kusetwa pembeni kwa kinyaa kikubwa kama karatasi ya kuchambia kinyesi cha binadamu.
Cha kufurahisha hata katikati ya haya maumivu, huzuni na sintofahamu kubwa... Sukuma twende gangwe wameanza kukunjua makucha hao na very sooner later on wataanza kumparura... Kikulacho ki nguoni mwako.
Akili mnembeko ni kunaayoko! Lakini kamwe hawezi kushinda asili. Ukijua hivi tunajua vile.. Kukichwa kutapambazuka.. Lakini kabla jua kuchomoza kiza huwa kinene.
View: https://youtu.be/9HNl8YAnp0Q?si=Yi2ORTPj4XOPV36j
Alamsiki mpendwa Tanganyika..!!!