Samia's administration creates rifts which divide the nation

Ungeweza kunijibu bila matusi,na nikakuelewa vizuri.

Rais ni cheo kikubwa sana.Haiwezekani kumsogelea hovyo hovyo.Kwangu mimi haijalishi nani ni Rais.

Mtu yoyote akishakuwa Rais lazima heshima iwepo na itifaki zake zizingatiwe.
Acha ushamba kumsigolea binadamu mwenzio ni dhambi? ndio maana nasema tena na tena, unasumbuliwa na ushamba
 

Kumbe unaongelea wale wabunge special seat 19 wa CHADEMA na umejikita kutoa majibu kwa sbb hiyo tu, then you concluded Rais Samia hafai in short.. Eti the country is polarised & paralysed, what??? wtf..

Mentally, ww ni nyumbu, the Wildebeest 100%. Don't think we are all fools or stupid, ur such a low poor political propagandist.
 
Nitafasirie nicheke najua hapo umechekesha tu
 
JPM aliwapeleka kidikteta mkalalamika, mnataka nini ?
 
Ina makosa gani.?
 
Yaah! Ni kweli. Anaongoza kiume wakati yeye ni mwanamke kwasabb amekuzwa ktk mfumo dume
Kukohoa wakati anahutubia kunauhusiano gani na kukosa confidence ??? hiyo ni hali ya kawaida kwa mtu mwenye umri kama ule akiongea kwa muda mrefu , thats why kunakuwa na maji pembeni kiongozi anapohutubia muda mrefu, kwa mamlaka aliyopewa na katiba yetu hii ya 1977 hakuna Rais anaweza kukosa confidence,when she exercises full presidential powers this kind of rubbish u could been talking ndani ya Handaki and not on the social media ,,,
 
You just gave a dog a bad name and you killed it. Madam Samia is God sent to deliver His people from the dictatorial regimes that ruled Tanzania ruthlessly from 2015- 2021.

If you can't appreciate the rule of law, democratic process and freedom of speech that we are enjoying since Madam Prez assumed power then your a numbskull.
 
If you can't appreciate the rule of law, democratic process and freedom of speech that we are enjoying since Madam Prez assumed power then your a numbskull.
Do you know the meaning of rule of law?

In short, it is respect of constitution. Tell us, what are the constitutional requirements for one to be a member of parliament?

Democratic values are our constitutional rights, thus it's dissemination is not a favour or privilege
 
You may tell us the rulings for the one who went to seek his/her justice in the court justice --------------------by suspending them before courts judgements may compromise and complicate the entire process .''''''
 
Do you mean madam President doesn't respect the constitution? What are you trying to insinuate?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…