Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,076
- 4,647
Last kick of a dying horse!Samuya ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana
Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini
Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe utekaji, utesaji, ufiraji na mwisho uuaji, japo bado
hazijazaa matunda nje nako wameanza kumkaba koo.
Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia
mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic zidi ya
Wakristo wengine, swali la mwisho atafanikiwa!?
Well she asked for it, look at her nowSamuya ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana
Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini
Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe utekaji, utesaji, ufiraji na mwisho uuaji, japo bado
hazijazaa matunda nje nako wameanza kumkaba koo.
Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia
mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic zidi ya
Wakristo wengine, swali la mwisho atafanikiwa!?
mda utasemaLast kick of a dying horse!
Hao sio ndio wamenanga tec na Nchimbi, ila anasifia waanglican ili awagawe wakolikiUdini gani kaka, hamna kitu hapo ni kuhangaika tu.
Raia hiyo hoja walishaikataa toka mwanzo.
View attachment 3511363
Hawa Masheikh wenye AKILI hawapendwi na Samia wala familia ya Kikwete.Udini gani kaka, hamna kitu hapo ni kuhangaika tu.
Raia hiyo hoja walishaikataa toka mwanzo.
View attachment 3511363
Sasa ameshachelewaAngeweza kuwa Rais bora sana kutokea TZ, tena kuliko wengi walipigiwa kura, ila hakutaka na mda haurudi nyuma.
Mda utatupa majibuAmechagua vita ngumu sana. Nadhani hawezi kuishinda kamwe.
watu mnaichukulia poa hii hoja ya udini lakini ukizama ndani zaidi kuna kundi linauunga mkono hadi unaweza kutukana mtu bure!Udini gani kaka, hamna kitu hapo ni kuhangaika tu.
Raia hiyo hoja walishaikataa toka mwanzo.
View attachment 3511363
mbio za sakafuni huishia ukingoniSamia ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana
Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini
Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe utekaji, utesaji, ufiraji na mwisho uuaji, japo bado
hazijazaa matunda nje nako wameanza kumkaba koo.
Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia
mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic zidi ya
Wakristo wengine, swali la mwisho atafanikiwa!?
Aliingia kwa kuchana notes zote zilizo achwa na Magufuli akiamini atakuwa bora zaidi yake sasa amekuwa worst in Africa na dunianiMwanamke mpumbavu hubomoa ndoa /nyumba kwa mikono yake mwenywe
Udini ni dhahiriwatu mnaichukulia poa hii hoja ya udini lakini ukizama ndani zaidi kuna kundi linauunga mkono hadi unaweza kutukana mtu bure!
Kuna kundi la Waislam hasa wale wanaoshinda msikitini na wale wasio na shughuli maalumu za kipato wameibeba kwa nguvu zote hoja hii na wanaiambukiza kwa wale kina mama na mabinti wanaowafundisha quarani!
Hawa mabinti na kina mama wanaovaa nikabu na ambao wana elimu mbalimbali huwaambii lolote kuhusu hii agenda
Wale vijana wanaoshinda msikitini na ambao elimu yao ni ya elimu mbalimbali hii agenda wameibeba kama ilivyo
Hili jambo ni kubwa na linapaswa kukemewa hasa hasa kwa hawa walimu wa madrasa! Hawa wanawalisha sumu mbaya ndugu zetu ipo siku tutachukiana.
Ukisikia watu wanaanza kumuuliza makamu wa Rais kana kwamba hawajui Boss akiongea amemaliza, ujue kuna hatari inatafutwa