Katibu atachaguliwa lini?
Duh! we uko faster yani nimeiona sasa hiv ITV, Na sasa hv ushaipost..... hakika unafaa kuwa journalist
n'gombe huwa hazeeki maini!Hivi Samia kaolewa ? umri umeenda lkn pumziko la nguvu
Prince am a journalist by proffesional thnx by the way
Hongera sana mama Samia
Hujambo mpenzi?
hii thread umeiona tarehe na kuielewa?