Samia ni Mama, hakuwaua watoto wenu. Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani

Kilichotokea ni sheria imefanya kazi.
Narudia tena wewe uko chini, ya juu ndani huyaoni.
Lile halikua jaribio la Gen Z tu pekee yake,wale wanawakubwa wao waliowapanga wafanye uvunjaji sheria upande wa chini ndiyo maana nakwambia ile haikuwa vurugu tu ila ilikua jaribio la kuipindua nchi.
Huko juu unakojiona upo wewe kumekutia wazimu kiasi hujitambui wazimu wako ulivyo.

Hiyo serikali unayoizungumzia ni haramu, lakini hili nalo hulijui, kwa sababu wewe mwenyewe ni sehemu ya haram hiyo.
"Jiandae sasa maana hakuna "jaribio" tena; ila uharamu utaondolewa.
Kama ulisikia hata jeshini kulikua hakujatulia na video zilikuwepo hata mitandaoni kwa hiyo Kalamu jua nchi ilikuwa katika wakati magumu sana na Rais kayaweka sawa mambo nchi imetulia.
Upo nchi hii wewe; au unasemea ukiwa wapi? Unamzungumzia Rais yupi hasa!

Samia Suluhu Hassan ni mhalifu. Kinachomsubiri tu sasa hivi ni kupata haki yake ya uhalifu aliofanya na anaoendelea kuufanya. Hili hataliepuka kamwe.
 
Pesa yako unaipata kwa shida sana.

Muumba akufanyie wepesi ili usiwe mjinga mjinga.
Hakuna mtu anaipata pesa bila kufanya kazi na kazi ni shida sidhani hata Huyo Mama Samia anataka Urais ila ni tu Watanzania hawana chaguo lolote kwa sasa zaidi yake tunamuhitaji ELIMU yake na hasa uwezo wake wa kijasiri wa kufikiria na kufanya maamuzi.
Tunahitaji msaada wa Mama Samia hasa wakati mgumu kama huu wa vita kubwa duniani ili yeye ambaye ni Mastermind namba moja Tanzania na aliyewateuwa washirikiane kutulinda na KUTUPA mwongozo.
 
Huko juu unakojiona upo wewe kumekutia wazimu kiasi hujitambui wazimu wako ulivyo.

Hiyo serikali unayoizungumzia ni haramu, lakini hili nalo hulijui, kwa sababu wewe mwenyewe ni sehemu ya haram hiyo.
"Jiandae sasa maana hakuna "jaribio" tena; ila uharamu utaondolewa.
Upo nchi hii wewe; au unasemea ukiwa wapi? Unamzungumzia Rais yupi hasa!

Samia Suluhu Hassan ni mhalifu. Kinachomsubiri tu sasa hivi ni kupata haki yake ya uhalifu aliofanya na anaoendelea kuufanya. Hili hataliepuka kamwe
Ukitaka ujue sisi Watanzania wa pumbavu mfano Rais Samia afanye mpango Serikali immpe kila Mtanzania milioni moja wote mtanyamaza na hakuta tena makelele kwamba Samia hafai kwa sababu hicho ndicho mnachokitaka kutoka kwa Mama Samia.
Ila kwa kuwa yeye ana kazi na utu mnaona hafai wakati yeye ndiyo ngao na silaha ya taifa.
Mzee hakuna haramu katika maamuzi ya Mungu, Samia kapewa nchi hii bila kugombania hakuna uharamu hapo.
 
Tundu Lissu alikuwa active toka kipindi cha Hayati Magufuli, na Magufuli hakuwahi kuactivate Jinai kwa sababu alijua hawezi kufanikiwa na ni kitu ambacho kingempa adhabu kali sana.

Karudishwa nchini hapa akaona busara ni kitu cha kukichezea na uchizi ambao unathibitishwa hadi sasa kutokana na matokeo yake ya yeye kufuatwa na watu wengi wenye mapungufu kama yeye ambao wanaona fujo na uvunjaji sheria ndio suluhisho la changamoto ambazo wanakumbana nazo na yeye mwenyewe

Kiongozi wao kwenda jela na wafuasi wake baadhi kufa.

Kama Raia natambua vyombo vya ulinzi na usalama wa Raia na Mali zao natambua wanatambua wajibu wao na jinsi ya utendaji kazi wao kwa hiyo ukiacha agizo la Rais ambaye hakosei. Polisi sheria inawalinda inapotokea wamegoma kufanya kazi flani.

Lilitokea oktoba 2025 Tanzania ni sheria imefanya kazi yake na jukumu la Serikali akiwemo Rais ni kutekeleza matakwa ya sheria husika.

Mimi naomba niseme tu Gen Z wana uwezo gani wa kupambanua na kuleta suluhisho la changamoto za kimaisha wakati wao wenyewe ni watoto ambao wanatokana na changamoto za uzembe wa wazazi wao?

Jibu ni kwamba ni uhuni na uvunjaji sheria tu ndiyo matokeo yake. Kufa kila mtu atakufa kwa njia yake Mama Samia ni Mama sio yeye aliyewaua watoto wenu ni Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani.

Mtoto wako anatoka siku ya zile za fujo, uhuni, wizi na uvunjaji wa sheria nyingine nyingi na sio maandamano ambayo yako kisheria unamruhusu anaenda huko anashiriki unasikia kapigwa risasi unasema Mama Samia hafai na Mungu aliyeacha hilo litokee, anamchuliaje?

Haya mambo tuyatakari sana Watanzania.

Samia ni Mama na Rais wetu na ndiyo Mungu ametuweka hapo tuache chuki na tumpende msomi Mama wa

Watu na hawezi kuacha taifa hili litetereke kwa gharama yoyote hicho ndicho Comrade inatakiwa ukiheshimu na kukipenda.

Mama Samia nakuomba uendelee kupiga yako ,vichwa vyako tupo na tunaoona tupo.

Acheni ufala wote mnaomchukia Mama Samia. Mungu anasema tafuta kazi upate kazi,ufanye kazi na ndiyo upate riziki. Hata Mama Samia alianza kwa kutafuta. Acheni kudai masuluhisho yenu ya kifedha kutoka kwa Mama Samia yeye anafanya ya msingi tu.
Asante kwa kuudhihirishia umma uwezo wako wa kufikiri
 
Ukitaka ujue sisi Watanzania wa pumbavu mfano Rais Samia afanye mpango Serikali immpe kila Mtanzania milioni moja wote mtanyamaza na hakuta tena makelele kwamba Samia hafai kwa sababu hicho ndicho mnachokitaka kutoka kwa Mama Samia.
Ila kwa kuwa yeye ana kazi na utu naona hafai wakati yeye ndiyo ngao na silaha ya taifa.
Mzee hakuna haramu katika maamuzi ya Mungu, Samia kapewa nchi hii bila kugombania hakuna uharamu hapo.
You're sick.
 
Hakuna mtu anaipata pesa bila kufanya kazi na kazi ni shida sidhani hata Huyo Mama Samia anataka Urais ila ni tu Watanzania hawana chaguo lolote kwa sasa zaidi yake tunamuhitaji ELIMU yake na hasa uwezo wake wa kijasiri wa kufikiria na kufanya maamuzi.
Tunahitaji msaada wa Mama Samia hasa wakati mgumu kama huu wa vita kubwa duniani ili yeye ambaye ni Mastermind namba moja Tanzania na aliyewateuwa washirikiane kutulinda na KUTUPA mwongozo.
Huna unalolijua, kuna watu nchi hii wanapata pesa kwa sababu tu ya uwepo wao eneo la kazi.
 
Kilichotokea ni sheria imefanya kazi.
Narudia tena wewe uko chini, ya juu ndani huyaoni.
Lile halikua jaribio la Gen Z tu pekee yake,wale wanawakubwa wao waliowapanga wafanye uvunjaji sheria upande wa chini ndiyo maana nakwambia ile haikuwa vurugu tu ila ilikua jaribio la kuipindua nchi.
Kama ulisikia hata jeshini kulikua hakujatulia na video zilikuwepo hata mitandaoni kwa hiyo Kalamu jua nchi ilikuwa katika wakati magumu sana na Rais kayaweka sawa mambo nchi imetulia.
Hujui Samia alikataa Urais baada ya Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kuiaga dunia.Hii nchi Samia kapewa na Mungu hili unalijua na umuheshimu Mungu kuliko hata unavyowaheshimu wazazi wako na kila Rais anauwezo wa kupata mihula miwili na Mama Samia ni Rais haki yake ni mihula miwili.
Tueleze amelazimisha kutawala wapi?
Sasa nguruwe kama wewe nawe unataka kudai muda wangu niupoteze bure kwa mizungushano isiyokuwa na maana kama hii?
Samia ni mhalifu, na kama walivyo wahalifu wote haki yake ni jela, au hata futi sita chini ya ardhi kabla ya wakati wake.
Nenda kamweleze hivyo kama wewe mwenyewe huwezi kuelewa unachosoma hapa..
 
Ukitaka ujue sisi Watanzania wa pumbavu mfano Rais Samia afanye mpango Serikali immpe kila Mtanzania milioni moja wote mtanyamaza na hakuta tena makelele kwamba Samia hafai kwa sababu hicho ndicho mnachokitaka kutoka kwa Mama Samia.
Ila kwa kuwa yeye ana kazi na utu mnaona hafai wakati yeye ndiyo ngao na silaha ya taifa.
Mzee hakuna haramu katika maamuzi ya Mungu, Samia kapewa nchi hii bila kugombania hakuna uharamu hapo.
LOOOoooh!
Hivi huwa mnaokotwa wapi watu duni wa aina yako!
Tulidhani tuliowazoea kuwa na fikra mbovu siku zote humu JF wametosha, kumbe bado kuna timu zinaendelea kutengenezwa?

Sasa wewe na fikra za aina hii, unafikiri utaongeza kitu gani katika kumsaidia mtu mwovu kama Samia?

Kwa mawazo kama haya unafikiri utamsaidia apate nafuu ya hali ngumu inayomkabili sasa hivi?
Kila pumzi anayopumua sasa hana uhakika kama atapata nyingine; wewe unakuja hapa na" kugawa milioni moja!"
 
Iddi Amini Mama
IMG_20260503_200255.jpg
IMG_20260503_200230.jpg
IMG_20260503_200047.jpg
IMG_20260503_200026.jpg
 
Tundu Lissu alikuwa active toka kipindi cha Hayati Magufuli, na Magufuli hakuwahi kuactivate Jinai kwa sababu alijua hawezi kufanikiwa na ni kitu ambacho kingempa adhabu kali sana.

mia. Mungu anasema tafuta kazi upate kazi,ufanye kazi na ndiyo upate riziki. Hata Mama Samia alianza kwa kutafuta. Acheni kudai masuluhisho yenu ya kifedha kutoka kwa Mama Samia yeye anafanya ya msingi tu.
Vijana kama nyie mna mchango mdogo sana kwenye taifa. Ni mzigo kwa hili taifa
 
Sasa nguruwe kama wewe nawe unataka kudai muda wangu niupoteze bure kwa mizungushano isiyokuwa na maana kama hii?
Samia ni mhalifu, na kama walivyo wahalifu wote haki yake ni jela, au hata futi sita chini ya ardhi kabla ya wakati wake.
Nenda kamweleze hivyo kama wewe mwenyewe huwezi kuelewa unachosoma hapa..
Tatizo Lissu na nyie watu wake mnatatizo la kuovereact ndiyo uwezo wenu wa kufikiria umeishia hapo.Hoja chache tu umepata tayari kakutoka nguruwe mdomoni.
 
Hapo ulipo wewe sasa hivi; kweli bado unayo matumaini juu ya Samia?

Tusipotezeane muda!
Mungu siyo mwanakijiji mwenzio kusema kuwa amekupa siri za nani atakufa lini. Be humble old folk
 
Kama unaakili timamu ungekua umejua zile hazikua fujo bali jaribu la kumpindua Rais.
Unayajua mapinduzi ww? hakuna mapinduzi pale. Mapinduzi hayai conducted na disorganized protesters
 
akiwa kama amilijeshi mkuu alitoa go ahead kwa yale yaliyotokea lawama ni zake na anastahili. na sidhani kama sheria zetu znaeleza kuwa mtu anayefanya fujo asiye na silaha ya moto anapaswa kupigwa chuma za kichwa. pia kumbuka wananch tunapaswa kutii sheria wakat huohuo mamlaka zinapaswa kujua wajibu wao kwa wananchi.
 
Tundu Lissu alikuwa active toka kipindi cha Hayati Magufuli, na Magufuli hakuwahi kuactivate Jinai kwa sababu alijua hawezi kufanikiwa na ni kitu ambacho kingempa adhabu kali sana.

Karudishwa nchini hapa akaona busara ni kitu cha kukichezea na uchizi ambao unathibitishwa hadi sasa kutokana na matokeo yake ya yeye kufuatwa na watu wengi wenye mapungufu kama yeye ambao wanaona fujo na uvunjaji sheria ndio suluhisho la changamoto ambazo wanakumbana nazo na yeye mwenyewe

Kiongozi wao kwenda jela na wafuasi wake baadhi kufa.

Kama Raia natambua vyombo vya ulinzi na usalama wa Raia na Mali zao natambua wanatambua wajibu wao na jinsi ya utendaji kazi wao kwa hiyo ukiacha agizo la Rais ambaye hakosei. Polisi sheria inawalinda inapotokea wamegoma kufanya kazi flani.

Lilitokea oktoba 2025 Tanzania ni sheria imefanya kazi yake na jukumu la Serikali akiwemo Rais ni kutekeleza matakwa ya sheria husika.

Mimi naomba niseme tu Gen Z wana uwezo gani wa kupambanua na kuleta suluhisho la changamoto za kimaisha wakati wao wenyewe ni watoto ambao wanatokana na changamoto za uzembe wa wazazi wao?

Jibu ni kwamba ni uhuni na uvunjaji sheria tu ndiyo matokeo yake. Kufa kila mtu atakufa kwa njia yake Mama Samia ni Mama sio yeye aliyewaua watoto wenu ni Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani.

Mtoto wako anatoka siku ya zile za fujo, uhuni, wizi na uvunjaji wa sheria nyingine nyingi na sio maandamano ambayo yako kisheria unamruhusu anaenda huko anashiriki unasikia kapigwa risasi unasema Mama Samia hafai na Mungu aliyeacha hilo litokee, anamchuliaje?

Haya mambo tuyatakari sana Watanzania.

Samia ni Mama na Rais wetu na ndiyo Mungu ametuweka hapo tuache chuki na tumpende msomi Mama wa

Watu na hawezi kuacha taifa hili litetereke kwa gharama yoyote hicho ndicho Comrade inatakiwa ukiheshimu na kukipenda.

Mama Samia nakuomba uendelee kupiga yako ,vichwa vyako tupo na tunaoona tupo.

Acheni ufala wote mnaomchukia Mama Samia. Mungu anasema tafuta kazi upate kazi,ufanye kazi na ndiyo upate riziki. Hata Mama Samia alianza kwa kutafuta. Acheni kudai masuluhisho yenu ya kifedha kutoka kwa Mama Samia yeye anafanya ya msingi tu.
Wewe kwa akili yako mbovu unaona ni sawa kwa samia kuuwa watoto wa watu kinyama na halafu kuwajibu jeuri watanzania? Ama kweli umefanana naye kila kitu.
 
Back
Top Bottom