Samia ndio Rais wa kwanza kujenga Chuo Kikuu kila mkoa Tanzania. Hakuna mkoa ambao hauna Chuo Kikuu

Chawavariable hivi huyo Samuya ni contractor anayezunguka nchi nzima?

Halafu tueleze VPN yako umetumia server gani kuingilia humu.
 
ndiyo raisi wa kwanza kushinda kwa asilimia 98 tena katika uchaguzi ambao watu waliususua (NO REFORMS NO ELECTION) Waliowengi hawakupiga kura. badala yake walimu na wasimamizi wengine walifungiwa kwenye ofisi ili watiki kwa samia, wabunge na madiwani. unapata kura 89% kisha unakimbilia ngerengere jeshini kujificha
ndiyo raisi wa kwanza kuamuru wanajeshi wa wamiminie watu wake risasi. watu walipigwa risasi wakiwa madukani, kwenye kahawa na kwenye vvibanda umiza
twambieni wale mlio wauwa hapo tarehe 30 october kulikuwa na maandamano wapi ? saa ngapi?
SAMIA NI MUUAJI, HATA APAMBWE VIPI HISTORIAA ITAMKUMBUKA
 
Kwa kazi nzuri kama hizi alitakiwa kushinda Kwa asilimia 100%

View: https://www.threads.com/@zazibar1/post/DWOIKM-DqsW?xmt=AQF0s-sJW8yGjbvQDf7O0z_WAusVh6nOIM0CzMi7PBi3zG7CGBlvBvaSCtH4a7KfG3o6-EKF&slof=1
 
Nawaombea kwa mungu wale wote waliouwawa kwa risasi hapo October 29 na kuendelea
Namuombea mabaya yote yamfike aliyesababisha unyama ule
Waliopata shida Kwa sababu ya kusababishiwa hao wanastahili pole na fidia ila wale wahuni walioshiriki kuleta vurugu wanatakiwa wakashitakiwe kwa uhaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…