Hata sielewi kwann kila kitu saivi ni samia samia samia mpk mambo yanayohusu dini seriously yan ramadhan inatumika kumtangaza mwanasiasa, futari inatumika kumtangaza mwanasiasa kweli kbs yan kwngne kote wamekosa na kngne maccm humu yanatamba mama abdul kafanya makubwa kwa muda mfupi je kuna sababu gn kutumia nguvu nyng kumtangaza hayo aliyofanya si yanaonekana na yanatosha kumtangaza kbs.