The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,698
Sijui kama umesoma. Na kama umesoma, sijui kama umeelewa. Na kama umeelewa, sijui kama umeelewa vizuri. Na kama umeelewa vizuri, sijui kama unajua umeleewa vizuri!!!!!Mkuu bado unaamini kuna uchaguzi…kweli kuna watu hamjui kusoma alama za nyakati…hicho kitu hakipo…hakuna uchaguzi…Mark my words…SAMIA HATOBOI
Mkuu bado uko ndotoni. Uchaguzi utafanyika tena kwa amani kabisa na next week gwaride linapogwaMkuu bado unaamini kuna uchaguzi…kweli kuna watu hamjui kusoma alama za nyakati…hicho kitu hakipo…hakuna uchaguzi…Mark my words…SAMIA HATOBOI
Narudia .Sijui kama umesoma. Na kama umesoma, sijui kama umeelewa. Na kama umeelewa, sijui kama umeelewa vizuri. Na kama umeelewa vizuri, sijui kama unajua umeleewa vizuri!!!!!Mkuu bado uko ndotoni. Uchaguzi utafanyika tena kwa amani kabisa na next week gwaride linapogwa
Una ID ngapi?Narudia .Sijui kama umesoma. Na kama umesoma, sijui kama umeelewa. Na kama umeelewa, sijui kama umeelewa vizuri. Na kama umeelewa vizuri, sijui kama unajua umeleewa vizuri!!!!!
Kwani ana heshima ipi iliyoshushwa? Muuaji cana heshimaNaomba niongee busara Moja
Naomba wajitahidi kuzuia kuweka asilimia zaidi ya 81% ya ushindi kwasababu zifuatazo, kwa maono yangu lakini
1. Itamfanya na itawafanya wanaompinga kuona kuwa hakushinda kwa zaidi ya asilimia 85% au zaidi, Hivyo jamii na Dunia kuona ushawishi wake umepungua na hivyo itamsaidia kupunguza ile chuki na maneno ovyo yanayotolewa na jamii yake na Dunia
2. Akishinda kwa asilimia hizo chini ya 81% itaionyesha jamii ya kidunia kuwa kumbe hata wengine walipigia kura vyama vingine tofauti na na chama chake hivyo inaonyesha Kuna demokrasia inayoendelea, tofauti na ikionekana kashinda 82% to 99.9%
3. Atapata ile inner peace ya Moyo, hivyo baada ya uchaguzi huo afanye mabadiliko makubwa ya kiutendaji na kurudisha ile heshima ambayo mitandaoni na baadhi ya sehemu wanajaribu kuishusha
Hayo ni mawazo tu' kwa ninachokiona.....
Ni watakie, nyakati njema na UCHAGUZI MWEMA
Kuona kiongozi wako anakebehiwa hadharani kwako ni sawa?Kwani ana heshima ipi iliyoshushwa? Muuaji cana heshima
mama abdul mnamsingizia tu bure, hata yey hapendi kinachotokea.Kwani ana heshima ipi iliyoshushwa? Muuaji cana heshima
Duuh angalia wasikuteke tu uwe unaandika hivyo hivyo usije ukatengeneza audio au video ukairusha utajikuta umetekwa na umekufa pasipo kutarajiaTatu, timu yake ya uchafuzi, sorry, uchaguzi, ina kazi moja tu, kumtangaza tena akiwa ameshindishwa sorry ameshinda kwa kishindo.
Nne, anapondwa, sorry anapendwa sana kuliko hata Mungu mwenyewe.
MaigizoUchaguzi wa ovyo haijapata kutokea
Kupoteza ela tu sijui kampeni,kulikua hakuna haja ya vyote hivyo
Tunajua hilo mkuuu, ndio maana tunataka msaidia hiyo keshomama abdul mnamsingizia tu bure, hata yey hapendi kinachotokea.
Mngejua yey pale ni kivuri tu.