Samia anatukumbusha msemo wa 'A real warrior never quit'

She teach us one lesson.

A real or legend warrior never quits, no matter what happens.

Japo uongozi wake una dosari nyingi lakini misimamo yake. I will take it as a lesson to learning in life
Hata majambazi na mafisadi sugu wanaitwa sugu kwa sababu ya misimamo yao ya kihalifu...hoja siyo misimamo wowote ...maana hata WAPUMBAVU wana misimamo
 
She teach us one lesson.

A real or legend warrior never quits, no matter what happens.

Japo uongozi wake una dosari nyingi lakini misimamo yake. I will take it as a lesson to learning in life
Hata shetani mpaka Leo anapambana na utawala wa haki
Kwa hiyo inategemea aina worrior uliyochagua
 
Swali langu ni moja tu, ingetokea wale wahuni wakaingia ikulu na kutangaza kuichukua serikali ya JMT tungesikia hizi kelele za Rais SSH kushtakiwa kule ICC?.
 
Ngumu kumeza? JF home of great thinkers. Jipange vizuri wakati ukiandika. Sisi makobadhi ni madrasa tu. Usiingie kichwakichwa kwa maneno ya madhabahuni. Tumia akili yako ya kuzaliwa.
 
Naamini hata nyumbani kwenu wazazi wako huwa wanafanya makosa. Kuna siku waliwahi kuomba msamaha?

Sasa ile picha ya wazazi wako ile kwa wanasiasa, nao wanapita njia ile ile ya namna familia nyingi za kiafrika zilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…