The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Mashehe au mashehetani kama siyo mashetani?Mashehe wanaolopoka kila siku hawaoni
Kwa nini ? Kwamba tunakwenda kuwa wakimbizi Uingereza na UfaransaBaada ya miaka kadhaa tutaanza kusikia waingereza na wafaransa wenye asili ya kitanzania
Ndio amani ndio ilifanya wazaramo wazaliwe Wakefield na wafie bagamoyo ila kwa hali hii hakuna anayetamani kuishi yeye na kizazi chake tanzania. Anasema watu wamvumilie muda wake utaisha ,unawezje kuvumilia kila siku watu wanafuatwa nyumbani kuuawa?Kwa nini ? Kwamba tunakwenda kuwa wakimbizi Uingereza na Ufaransa
Udini wake uko wapi Sasa?!!!! Hivi nyie TEC ni mashetani ya namna gani?!!!!!!Waliosikia na kuielewa hotoba ya leo ya Samia watakubaliana nani. Ameonyesha kushabikia udini na vurugu. Akiri. Urais hauwezi.
Aachie ngazi. Unamfunga mtu halafu unamlaumu. Hii ni haki kweli. Kimsingi, amezidi kumpaisha Tundu Lissu hata kama naye hafai kwa sababu hatujui mipango na falsafa yake.
Aisee nyie watu wanafiki kupitiliza,, dar!!!!!! Anyway, Mungu yupo na Bado tunaamini atatulinda dhidi ya hila zenu chafu.Ndio amani ndio ilifanya wazaramo wazaliwe Wakefield na wafie bagamoyo ila kwa hali hii hakuna anayetamani kuishi yeye na kizazi chake tanzania. Anasema watu wamvumilie muda wake utaisha ,unawezje kuvumilia kila siku watu wanafuatwa nyumbani kuuawa?
Hiki cheo cha makamu wa rais kitazamwe upya namna ya upatikanaji wake
Kwahiyo mwamba hapo ndo una upeo mkubwa yaani?!!!!🤣🤣🤣🤣🤣Upeo mdogo na kukimbilia vyeo asivyo na uwezo navyo ndio vimetufikisha hapa
Uko sahihii mwanangu. Si rahisi kuuona hasa kwa machawa na mazwazwa. Kwa sababu wanatumia makalio na matumbo kufikiri badala ya vichwa.Udini wake uko wapi Sasa?!!!! Hivi nyie TEC ni mashetani ya namna gani?!!!!!!
Ni kweli ila hasara ni kwa binadamu na siyo kwa machawa na mashehetaniHapo tumekula hssara
mmekutana mkyundu na mafi hapo mnapongezanaUko sahihii mwanangu. Si rahisi kuuona hasa kwa machawa na mazwazwa. Kwa sababu wanatumia makalio na matumbo kufikiri badala ya vichwa.
We jamaa ndo mbumbumbu hivi?!!!!!Uko sahihii mwanangu. Si rahisi kuuona hasa kwa machawa na mazwazwa. Kwa sababu wanatumia makalio na matumbo kufikiri badala ya vichwa.
Unaambiwa komesha utekaji na mauaji wenye makosa wapelekwe mahakamani.Udini wake uko wapi Sasa?!!!! Hivi nyie TEC ni mashetani ya namna gani?!!!!!!
Ni kweli. Ila siyo chizi na mbumbu na zwazwa kama yeyote anioneye mbumbu wakati yu mbumbu kuliko mimi kwa vile anayo pia sifa ya uchizi.We jamaa ndo mbumbumbu hivi?!!!!!
Ni kweli. Uloandika yanakisi na kukusadifu wewe vilivyo kiasi cha kukuona mkweli kwa kueleza namna ulivyo mwanagu.mmekutana mkyundu na mafi hapo mnapongezana