Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na wanachadema na bendera zao wakizipeperusha huku wakisikiliza alivyosema tuu jumamosi musihudhurie kwenye maandamano yaliyoitishwa na Chadema akashangaa hicho kikundi kidogo kilichokuwa kikimsikiliza wakiondoka mmoja baada ya mmoja saa hizi kabaki na wale wenye mashangingi na FFU na vinq'ola vinaingia jamani wanachi sio wakuchezea kwa kweli
Mbona haueleweki?
Mbona haueleweki?
Watanabe, kwanza karibu jamvini, then rudia kusoma thread vizuri, yaelekea wewe ndiye hujaelewaMbona haueleweki?
Hilo ndilo tatizo la baadhi ya vijana, hawana uvumilivu ndani ya vyama, wakipata umaarufu kidogo tu wanakuwa BIG headed na kushawishika kirahisi, huyo dogo bado mchanga ktk siasa za TZ, we subiri tu CCM hawachelewi kuwatelekeza wasaliti kama hawa.Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na wanachadema na bendera zao wakizipeperusha huku wakisikiliza alivyosema tuu jumamosi musihudhurie kwenye maandamano yaliyoitishwa na Chadema akashangaa hicho kikundi kidogo kilichokuwa kikimsikiliza wakiondoka mmoja baada ya mmoja saa hizi kabaki na wale wenye mashangingi na FFU na vinq'ola vinaingia jamani wanachi sio wakuchezea kwa kweli
Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na wanachadema na bendera zao wakizipeperusha huku wakisikiliza alivyosema tuu jumamosi musihudhurie kwenye maandamano yaliyoitishwa na Chadema akashangaa hicho kikundi kidogo kilichokuwa kikimsikiliza wakiondoka mmoja baada ya mmoja saa hizi kabaki na wale wenye mashangingi na FFU na vinq'ola vinaingia jamani wanachi sio wakuchezea kwa kweli
Ni kweli kabisa kazaliwa hapo Uyole kwa kuongezea amesoma shule ya msingi Uyole (Uyole kati) na alijulikana kwa jina la Charles. Kweli kijana ndiyo amefika mwisho wa safari yake kisiasa! Alijidanganya kuwa mwamko uliyopo uyole ni kwa ajili yake kumbe watu hawadanganyiki tena. mlungula apokee yeye halafu awaambie wanauyole wasiende kwenye maandamano kudai haki zao?!Yaniii UYOLE ni kwakinaShitambala kabisa, kazaliwa na kukulia hapo kama nabii hajakubalika kwao kweli ccm kwisha habari yake! POLE SANA AFANDE SHITAMBALA!
... mlungula apokee yeye halafu awaambie wanauyole wasiende kwenye maandamano kudai haki zao?!
Hii ni hasara nyingine kuubwa waliyoipata CCM maana kuna tetesi kwamba amenunuliwa kwa pesa nyingi sana.