Mwanzo mgumu mkuu tuwape muda watamkubali.
hata kule Genk nani alijua someday samatta angekua captain na wakamuimbia Sama sama goal wakamuonyesha mapenzi makubwa kama ya waTz.
Kijana wa kitanzania Mbwana Samatta leo anakipiga na wale wanaoweka mkeka uwani, chukua hii...
Aston Villa anaibuka mshindi (mabao sijui) weka ushindi tu.
Aston villa wanacheza mpira kama walevi wa Gongo,Na daraja wanashuka hawana hadhi ya kuwa timu ya Premier hawa.Championship side ndio level ya mpira wao