Samatta nuksi kweli.

ndevu mzazi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
687
Reaction score
238
Kawafungia mazembe goli la pili,mazembe 2- zamalek 0.mpira umeisha
 
Huna akili nimeongelea uwezo wake.perfomance yake nzuri alafu mtanzania.stupid u
Njoo na maneno yenye Staha kiongozi:
Ktk thread yako hujaelezea chochote kuhusu performance ila imetamka kwamba Samata ni nuksi na kawafungia TP-mazembe goli la pili na zaidi na hilo neno la ''stupid u''. Kwakweli hujamtendea haki Crashwise.
 
Yaap,hajatenda haki,ila nadhani anamaanisha kwamba samatta ni jembe kwa TP MAZEMBE na pia ni nuksi kwa ZAMALEK kwa sababu kawafunga home and away!nawasilisha.
 
Yaap,hajatenda haki,ila nadhani anamaanisha kwamba samatta ni jembe kwa TP MAZEMBE na pia ni nuksi kwa ZAMALEK kwa sababu kawafunga home and away!nawasilisha.

umechemka omba mwongozo kwa bi kiroboto...inachezwa kama league , na mechi nyingine aliwafunga al ahly sio zamalek, ya pili ndo kawafunga zamalek
 
[/COLOR]umechemka omba mwongozo kwa bi kiroboto...inachezwa kama league , na mechi nyingine aliwafunga al ahly sio zamalek, ya pili ndo kawafunga zamalek
Sawa sawa askari wa morogoro.
 
huyu mbona akiwa na taifa stars hafungi?
 
Apo yupo tp mazembe kelele zote hizo angefunga kwenye uefa si wayanga tusinge kula chakula.
 
Huna akili nimeongelea uwezo wake.perfomance yake nzuri alafu mtanzania.stupid u

kuwa mstarabu,inaonekana watu kama wewe mkifungwa ndio mnaong'oa viti Taifa na kutupa chupa zenye mikojo uwanjani.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…