Shabiki ni shabiki tu tofauti na angesema TFF, Waziri au Mkuu wa nchi iweje kila chombo cha habari inchini kinatangaza malalamiko ya Samatta kuhusu comments za mashabiki? Mbona haya ni ya kawaida kwa wachezaji wote wakubwa duniani? Fungua accountants za wachezaji wakubwa na club kubwa duniani utakutana na comments chanya na hasi za mashabiki dhidi ya watu wao. Yupo mtangazaji mmoja alisema redioni kuwa watanzania ni washamba watamharibia Samatta asipangwe kwenye mechi. Uliona wapi kocha mwenye akili akiacha kumpanga mchezaji anayeweza kumpatia matokeo kwasababu tu ya comments za mashabiki wasiojulikana. Tuache ulimbukeni wa aina hii, badala yake tumwambie kijana wetu aongeze Juhudi ndani na nje ya uwanja kumshawishi kocha na wachezaji wenzake.Sawa mkuu sisi wanahabari na wananchi wa kawaida tumekielewa hatutacomment tena kweny page yake wala ya timu yake
R.I.P meja kunta
Hata Messi alikuwa anabezwa kwao kwa kushindwa kwake kuisaidia timu yake ya taifa la Argentina. Wanamtuhumu kucheza chini ya kiwango kuliko anavyochea akiwa Barca, mbona hatujasikia mapovu ya kujitetea. Shabiki ni mtu wa aina yake aiseii, anachojali yeye ni mabao tyuu sio porojo nyingine. Akaze tu msuli kuwaridhisha maboss wake waliomsajili kwa miaka 4 wampe namba uwanjani.Acha kuwatetea hao wasiojitambua, hata ningekuwa mimi Samatta ningelalamika aiseeee!!!
Comments watu wanaandika mpaka matusi, unaonekana kabisa umetoka jamii ya watu wasiojitambua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona we umechagua kutoandika matusi?Ni ngumu kumchagulia shabiki cha kuongea, kazi mnayo