SAMATA Atupia na leo Timu yake(Genk) ikishinda.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Champion Boy Mbwana Samata leo tena Ametupia ligi kuu ya Ubelgiji huku timu yake ikiibuka na Ushindi wa goli 4 kwa bila.

Hongera Champion Boy
1489339563511.png
 
Oh Samatta hajui Kiingereza sijui nini... Mnaona sasa, mnafikiri hicho Kiingereza ndio kinafunga magoli? Upuuzi mtupu. Endelea kijana, usiwakilize hao wakuda.
 
Kila akifunga mtafungua thread mpya??! Mechi ambazo hafungi mnakuwa kimya,huu ni unafiki mkubwa sana. Kama tunasapoti basi iwe kwenye shida na raha.
 
Kila akifunga mtafungua thread mpya??! Mechi ambazo hafungi mnakuwa kimya,huu ni unafiki mkubwa sana. Kama tunasapoti basi iwe kwenye shida na raha.
How cud u support poor
We always support good performance, assist n score.
Kwhyo inatupasa kushangilia Samatta anapofanya vizuri, na tunasikitika asipofanya vizuri pia

Ishu ni kumtia MOYO
 
How cud u support poor
We always support good performance, assist n score.
Kwhyo inatupasa kushangilia Samatta anapofanya vizuri, na tunasikitika asipofanya vizuri pia

Ishu ni kumtia MOYO

Kutokufunga haimaanishi he played poor! May be ali-assist au alikuwa constant threat but he cudnt score. For now tunafanya maigizo sana na hii staili ya posts km hizi
 
Back
Top Bottom