Samata asign mkataba Mpya mpaka 2021

Samata asign mkataba Mpya mpaka 2021

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,216
Reaction score
1,375
Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji
 
Si walisema msimu ikiisha anahamia England, EPL? TZ bhana kabla hakujanoga tia maji tia maji

Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji
I w
 
Uliwahi kusikia habari za kuvunja mikataba?
Kuna vipengele timu inayokuitaji ikivifikia basi unaondoka..

Mfano labda umeweka timu ikifika bei flani basi huru kuuzwa.

Yani nijuavyo timu inayokuitaji ndio inalipa gharama kukuvunjia mkataba.
 
Naam, iko hivyo. Timu inayokutaka inakaa na kuangalia gharama za kuvunja mkataba wako inavunja kisha mnaongea.

Hata uwe na mkataba wa miaka 100 ili mradi waweze kumudu pesa inayohitajika unaenda.
Kuna vipengele timu inayokuitaji ikivifikia basi unaondoka..

Mfano labda umeweka timu ikifika bei flani basi huru kuuzwa.

Yani nijuavyo timu inayokuitaji ndio inalipa gharama kukuvunjia mkataba.
 
Kwa mtazamo wangu naona bado yampasa aendelee kubakia Genk kwa msimu huu ili kuendelea kukua ki_soka, Labda kuanzia msimu ujao ndio aanze kufikiria kuondoka
 
Mshahara kiasi gani?
Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom