mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,286 Reaction score 6,727 Nov 10, 2016 #1 Tafiti zinaonesha kwamba Ziwa Tanganyika lina aina zaidi ya 350 ya samaki wa mapambo, mbali na samaki aina ya migebuka na dagaa zilizozoeleka. Kwa wakazi, hasa wavuvi Kigoma, hii ni fursa nzuri ya uchumi na utalii. Ni muhimu kwa Serikali kuchukua hatua stahili kutinzana kukuza fursa hii. Baadhi ya aina hizo ni kama picha zifuatazo
Tafiti zinaonesha kwamba Ziwa Tanganyika lina aina zaidi ya 350 ya samaki wa mapambo, mbali na samaki aina ya migebuka na dagaa zilizozoeleka. Kwa wakazi, hasa wavuvi Kigoma, hii ni fursa nzuri ya uchumi na utalii. Ni muhimu kwa Serikali kuchukua hatua stahili kutinzana kukuza fursa hii. Baadhi ya aina hizo ni kama picha zifuatazo
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,853 Reaction score 35,588 Nov 10, 2016 #2 Wanapatikana eneo lote la ziwa au Ni kwa baadhi ya maeneo tu
Mpwa Member Joined Oct 1, 2010 Posts 58 Reaction score 15 Nov 10, 2016 #3 Hao samaki wanapatikana baadhi ya Maeneo kwa aina tofauti, kuna wanao patikana mwambao wa Kigoma, Maeneo ya Rukwa kama Kipili, Kasanga, Kabwe, Ikola, kuna wanao patikana Zambia na aina nyingine Nchini Congo hasa Moba
Hao samaki wanapatikana baadhi ya Maeneo kwa aina tofauti, kuna wanao patikana mwambao wa Kigoma, Maeneo ya Rukwa kama Kipili, Kasanga, Kabwe, Ikola, kuna wanao patikana Zambia na aina nyingine Nchini Congo hasa Moba
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,427 Reaction score 10,749 Nov 10, 2016 #4 Kuna mmoja mzuri Sana wa ziwa Tanganyika nilimkuta mahali anauzwa Dola 270
ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,491 Reaction score 2,477 Nov 10, 2016 #5 Jumong S said: Kuna mmoja mzuri Sana wa ziwa Tanganyika nilimkuta mahali anauzwa Dola 270 Click to expand... kama unayo picture yake iweke. nimeshawishika kwa kweli kumjua huyo samaki
Jumong S said: Kuna mmoja mzuri Sana wa ziwa Tanganyika nilimkuta mahali anauzwa Dola 270 Click to expand... kama unayo picture yake iweke. nimeshawishika kwa kweli kumjua huyo samaki
mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,286 Reaction score 6,727 Nov 12, 2016 Thread starter #6 Jumong S said: Kuna mmoja mzuri Sana wa ziwa Tanganyika nilimkuta mahali anauzwa Dola 270 Click to expand... Turushie hiyo picha au jina lake
Jumong S said: Kuna mmoja mzuri Sana wa ziwa Tanganyika nilimkuta mahali anauzwa Dola 270 Click to expand... Turushie hiyo picha au jina lake