ndogo kabisa inakost kumi na tano ikiwa tupu ikiwa na pampu kwa ajili ya kupush hewa na mapambo kama maua na mawe yake special ni 20elfu so una plus na kumi na tano jumla 45 samaki wapo aina zote chakula ni elfu 3000 kile kifuko cha icecream ambacho kinakaa mwezi na siku kadhaa si ukichukua viwili ni zaidi ya miezi mitatu kuwapata ni wewe tu sema upo wapi nikuletee mzigo hapo hapo ulipo