Samaki wa Kitoga wanapatikana

RUSSESABAGINA

Senior Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
167
Reaction score
239
Habari za muda huu wana JF,

Samaki wakavu wanapatikana, ni wa maji baridi, aina ya Kitoga kutoka Ifakara. Wamekaushwa kwa moto.

Wapo wa ukubwa tofauti tofauti, Bei ni kuanzia 3000, 4000, 5000 hadi 15,000 samaki mkubwa kabisa.

Ofisi yetu inapatikana Mwanayamala Magengeni. Au piga simu: 0719 -551-375

Karibuni sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah, nikila samaki aina yoyote ni kutapika mwanzo mwisho, mara mwisho kula ilikua nna miaka 6
mnafaidi kweli yaani
 
Nipo Arusha nitawapataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…