siimascovia
Member
- Sep 25, 2015
- 30
- 1
hiv una akili kwel?jichunguze.unaharbu ndoa yako alafu unataka tukuchekee..shenziii type..kuolewa na janaume kama hili hasara Tupu..
NA UKIPATA HANG-OVER PHARMACY IKO HAPO HAPO... WADUDU WAKINYEMVUA....:eek2::eek2::eek2: UNAHAMIA BWENINI...Aisee huyu Mzungu Mmasai ataniletea majanga kwa wife kitendo cha kufungua tawi hapa opposite na ofisini imekuwa shida kwangu.
Wakati wa lunch lazima nizimue kidogo.Jioni nikitoka ofisini ndiyo nakaa hapo hadi usiku napata vitu huku nikicheki watoto wazuri, wife akihoji kwanini nachelewa, namjibu nilkuwa nasubiria foleni ipungue.
Sasa Jana nimerudi akahoji, hiyo foleni nimeanza kusubiria wiki hii tu?Mbona siku za nyuma nilikuwa nawahi home. Nimetoka asubuhi Leo nimemwacha kanuna balaa.
Aisee huyu Mzungu Mmasai ataniletea majanga kwa wife kitendo cha kufungua tawi hapa opposite na ofisini imekuwa shida kwangu.