Samaki mkubwa ajabu akutwa ufukweni mwa bahari ya Hindi

Uyo afisa uvuvi ni mwongo anasema miaka 20 kesi kama iyo haijatokea manake yule wa kule kilwa hakumuona na yule wa coco beach je ingekua wenzetu ulaya wangefanya research kujua nini kinawaua huko baharini lakini kwa hapa kwetu itapita undocumented
 
Sio yohana mkuu alikuwa akiitwa Yona na alimezwa na samaki baada ya kutoswa majini na wasafiri wenzie kura ikamuangukia yeye!
Alikiuka maagizo ya Mungu kwenda kuhubiri Ninawi.
Mkuu mi najuilizaga swali moja hivi kipindi kile hakukua na michepuko manake kwa miaka hii utoweke kwako siku tatu then uje kumwambia mkeo nilimezwa na samaki sijui kama atakuelewa
 
Back
Top Bottom