maufoungph
Member
- Oct 16, 2018
- 77
- 171
Hizi ni aina ya samaki na bei zake.Tutajie bei mkuu na kusafirisha inakuwa sh.ngapi...?
Hizi ni aina ya samaki tulionao na bei zake.Bei gani kwa kilo mkuu?
Pweza mmoja anaweza kuwa na kilo ngapi?Hizi ni aina ya samaki tulionao na bei zake.View attachment 2107484
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na ukubwa(size) ipo size ambayo pweza mmoja anakuwa mpk na kilo 7Pweza mmoja anaweza kuwa na kilo ngapi?
Na size ndogo? Nataka niagize pweza wa kula tu home watu watatu hivi.Inategemea na ukubwa(size) ipo size ambayo pweza mmoja anakuwa mpk na kilo 7View attachment 2107612
Sent using Jamii Forums mobile app
Size ya chini kabisa ni nusu kilo(500g). Tunaanza kuuza kwa kilo moja.Na size ndogo? Nataka niagize pweza wa kula tu home watu watatu hivi.
Gharama ya delivery ipoje mpaka Kawe?Size ya chini kabisa ni nusu kilo(500g). Tunaanza kuuza kwa kilo moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kukaangiwa kabisa?
Ndio,tuna huduma ambayo pweza atakuwa ameshakaangwa tayari kwa kula tu ili kutopoteza muda. Package hii inapatikana kwa Tsh 12,000 tu.Naweza kukaangiwa kabisa?
Ndio boss inawezekana Jumatatu tunakuwa wazi kuanzia saa12 asubuhi.Kiongozi prawns naweza kupata kilo 5 kati ya leo au kesho?
Ofisi zipo wapi? Na huduma ipo kila siku?Ndio,tuna huduma ambayo pweza atakuwa ameshakaangwa tayari kwa kula tu ili kutopoteza muda. Package hii inapatikana kwa Tsh 12,000 tu.View attachment 2110123View attachment 2110122
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kila siku lakini kama utaitaji utatao order kabla,Tupo Ferry/kivukoni na tunafanya deliveryOfisi zipo wapi? Na huduma ipo kila siku?