Samaki aina ya Mbasa wanauzwa Mbeya mjini.

Joined
Mar 18, 2025
Posts
66
Reaction score
35
Samaki aina ya Mvasa wanauzwa Mbeya mjini. Bei inategemeana na ukubwa wa samaki, kuanzia 15,000/= hadi 45,000/= wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
 

Attachments

  • 20250326_163922.jpg
    1 MB · Views: 23
  • 20250326_163921.jpg
    1 MB · Views: 28
Acha utapeli wewe, hakuna samaki hapo. Yaani samaki anakaa sehemu moja na kenge, chura, mamba. samaki ni wa baharini tu
 
Hao samaki wamevuliwaje mbona wana macho mekundu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…