Samahanini wakubwa wangu wa kazi

Samahanini wakubwa wangu wa kazi

Joined
Apr 14, 2017
Posts
14
Reaction score
13
Kama nilivyotanguliza samahani hapo juu,ninaomba yeyote mwenye kufahamu guest mitaa ya kwanzia Kimara to ubungo anielekeze,manake nmepata ofa ya kumwaga sumu weekend hii pia na bei zake ila isizidi buku10 manake niko majalala vyuma vimekaza......I'm sorry again and again, thank you all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Nenda pale nikos lodge nyuma ya stend ya ubungo ...bei ni 15000 hv
 
Mkuu nenda mbezi inn..ipo ukishuka kibanda cha mkaa..kwa buku 10 unapata self saafi kabisa..usisahau mrejesho na tatu bomba kila laheri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halaf Urud hapa kulalama, ooh dem hajui mambo, ooh hajui kuniandaa, ooh hajitumi na mineno kibao, kumbe chanzo we mwenyewe.

Yan rum ya elf kum, unakuta kitanda fut 3 halaf kmetandkwa shuka za pink ile ya shule Za bwen, nati zmelegea, maji kwenye ndoo ya lita 10, no AC.

Sasa hapo mtoto wa watu anajitumaje kwa mazngra hayo??

Asikwambie mtu, mandhar ya kiwanja ina impact kubwa sana kwa wachezaj, jinsi ya uchezaji na hatimae matokeo.

hapo mnaenda kupakazana shombo to.

Vyuo vfunguliwe first year mpungue humu ndan

Uwezo wake ni 10,000/-. Vidole havilingani sio wote wanamudu hotels za 50,000/100,000/200,000..........

Btw kumbe ukilipia hotel bei kubwa na uwezo wako unaongezeka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom