Naomba msaada me ni member ila huwa najaribu kuchangia maada mbalimbali wanazoanzisha wajumbe ila nimepewa warning kuwa ushiriki wa acount yangu hauonekan hivyo naombeni msaada khs jinsi gani naweza nikatumia jf sahihi kama nyie wenyeji wangu!

ok ni hiv inshort mkubwa nahitaji maelezo ni vp naweza nikatumia flesh acount yang ya jf nikitaka kuchangia,kuanzisha mada mpya na mengineyo je nifuate step zip hilo ndio tatzo langu(i want 2 enjoy jf)

Mie WAHAAHAA HAAAAA HAAA AAAA! WALAH NIMECHEKA MPAKA MBAVU HOI!...MY YONGEST SON IS ALSO LOUGHING, HAJUI HATA KNACHOENDELEA, He IS 10MONTHS OLD! This is loliest! Mwe.