Samahani wadau naomba links za website zinazotoa video tutorial on computer science,,

Slaker

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
237
Reaction score
31
Wadau nilikuwa naomba links za website zinazotoa video tutorial hasa katika computer science na ICT studies
epecially programming,html,graphic design,database na zile issue hots katika ict

samahanini kwa usumbufu

:help:
 
tembelea udacity website.
 


Hi there,
Ninazo video training pack za programing, databases, networking, cisco and many more.
Kama unahitaji nipigie kwenye

0767659145
Email: alphonce@alphonce.net
pia angalia site yangu kwenye www.alphonce.net
 
mkuu hilo hi swala la ku-phrase keywords za hilo tatizo lako via google.Site hizo zpo nyng sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…