Samahani nauliza maana ya post graduates?

Katika kuperuzi peruzi umepata majibu gani kabla hujaja kuomba msaada hapa?
Tuanzie hapo kwanza mkuu.
Asante
 
Kifupi maana yake baada ya kuhitimu.(so kama ni mtu,basi ni yule ambaye tayari amepata degree ake kwa mara ya kwanza au degree moja(undergraduate) then,baadae anakuja kujiendeleza kusoma course nyingine fupi ya kitu kingine,au masters n.k,hiyo ndo kitu inaitwa post graduate.
 
Back
Top Bottom