Samahani mke wangu

Nime-like halafu baadaye nikakumbuka ... KAHABA ANAPOMSHAURI KAHABA MWENZIE...


Ni ukweli usiopingika ni nadra sana kumkuta mwanaume hana mchepuko, cha msingi wanaume tuhangaike lakini mkeo ndiyo kila kitu
 
Mfano mzuri ni wewe mwenyewe Zogoo, mama watoto kuonyesha kutojali mambo yako na kutaka kuondoka, si umeona nusra uchanganyikiwe. Na alivyokusamehe umefurahi mpaka husikii hata njaa...lol
Hahaha chezea kusamehewa
 
Reactions: kui

Ila kuwa mwangalifu mkuu hao wanabadillka Kama taa za barabarani Kama unajua saikolojia hatokusumbua lakini,Tukisungumzia wife material huyo ndiyo mfano
 
...si mchezo dia mbele ya kumkosa mama watoto, teh!
Teh si wanajifanyaga wao michepuko ni nature yao, angehamia kwa mcheps sasa. Chezea mke wa viwango wewe, unajirudi mwenyewe yamekushuka shuuu
 
Reactions: kui
Riwaya tu, aseme hayo yote halfu aendelee kuosha glasi, stuka....

Ulitaka afanyeje? Kama kulia keshalia sana, tushagombana sana, hana jinsi yote aliyofanya haoni badiliko, ni kuondoka.
 
Dah, kaka hongera kwa mkeo kuwa na madhabahu ya maombi na yenye kumtegemea Mungu. Hongera na pongezi kama umeomba msamaha wa dhati
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…