Samahani kama itawakwaza

labda tuseme zile dhambi ambazo huzijui kama umezitenda ,ila unazozijua huwa hata ukijombea msamaha roho inakushitaki

Tatizo lako una imani ndogo!biblia inasema ukishaomba msamaha kwa kukiri moyoni mwako kwa udhati kabisa amini umesamehewa!na Mungu wetu ni mwenye huruma na upendo usamehe mara zote hata uwe umekosea nini.Tatizo lako ni hapo kwenye mashaka hutakiwi kuwa na doubts.Let me give u these words,
Faith is being certain of what is to happen
If u don't forgive yourself what God has forgiven u then u are committing a great crime against the highest court of appeal to whom God is the judge.
 

hiyo kali....hata ukitaka ubatizo wajibatiza mwenyewe.....ndoa mwajifungisha wenyewe .
lakini sijui mmetoa wapi kwani maandiko yanasema hivi....akawavuvia Roho Mt......mtakaowaondolea dhambi basi wameondolewa
na mtakaowafungia na Mbinguni wamefungiwa. Hakusema mkajiondolee dhambi......anyway ndo maana makanisa yanazaliana kwa kasi hivyo.
 
Safi Excellent! Hii imeingia kwenye Fungua Mwaka Bora. Ila badilisha title ya hii thread isomeke: 'Samahani kama utacheka sana!'
 
Hakupita mtoto wa kike wa Pastor?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…