hivi ukiomba msamaha mwenyewe kwa Mungu bila kupita kwa wahusika wa dini Mungu anasikia maombi?
hapo bado siamini,kuna makanisa ya kilokole unakuta watu mpaka wanatoa unabii kwamba flani umetenda dhambi,naamini hivyo.Hizi ni taratibu za madhehebu tu binadamu walivojipangia na wala sio utaratibu wa Mungu.
Kwa mfano kwa wakatoliki ni mpaka uende ukatubu kwa padri au askofu.
Lakini kwa sisi walokole hamna hiyo hata ukipiga magoti chumbani kwako ukaomba Mungu anasikia vilevile.
hapo bado siamini,kuna makanisa ya kilokole unakuta watu mpaka wanatoa unabii kwamba flani umetenda dhambi,
umeshawahi kusikia utaratibu wa kutengwa kwa mda kwenye makanisa ya kilokole?
labda tuseme zile dhambi ambazo huzijui kama umezitenda ,ila unazozijua huwa hata ukijombea msamaha roho inakushitakihehe nishawahi kusikia na kushuhudia pia.Acha nikueleze kuna dhambi nyingi mimi naongelea dhambi zangu binafsi,ambazo roho yangu inanisuta kuwa nimemkosea Mungu wangu.Lakini kuna dhambi za jamii zile za kuwagusa direct watu wengine.
Kama kuzini na mke wa mtu, kutukana mtu,na mengineyo hayo ndo mpaka ukae na viongozi muongee,ukiri makosa na uombe msamaha!
Listen,na hapa sio kwamba unaomba wakusaidie kukuombea msamaha kwa Mungu hapana hapa ni kujiwekea uhusiano mzuri baina yako na wewe.Ni kama wewe ukimkosea baba excellent na ukaenda kumuomba msamaha,
Upoo??