nkowowo Member Joined Apr 21, 2012 Posts 29 Reaction score 3 Apr 25, 2012 #41 Mtambuzi said: Namvutia muda nijue ana maana gani? Click to expand... hapo una yako, unavuta mda wa nini hauelewi kama yuko kwenye windo.
Mtambuzi said: Namvutia muda nijue ana maana gani? Click to expand... hapo una yako, unavuta mda wa nini hauelewi kama yuko kwenye windo.
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,297 Reaction score 21,699 Apr 25, 2012 #42 Mtambuzi hujatulia, kujibu suali rahisi namna hiyo ndo mpk umvutie kasi, mara mpk umalize kula, mara hujui anamaanisha nn! Na hilo jina lako bado tu hujatambua......
Mtambuzi hujatulia, kujibu suali rahisi namna hiyo ndo mpk umvutie kasi, mara mpk umalize kula, mara hujui anamaanisha nn! Na hilo jina lako bado tu hujatambua......
Royals JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,472 Reaction score 378 Apr 26, 2012 #43 mwambie hujaoa bsdo ila unarafiki ambaye ni mama yake.usikie atakavo furahi.
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,065 Apr 26, 2012 #44 Mwambie 'Nimeoa lkn niko available'
TaiJike JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 1,482 Reaction score 669 Apr 26, 2012 #45 Mtambuzi said: Bado najiuliza ana maana gani.................Au kwa sababu sijavaa pete ya ndoa kama wengine...........!? Click to expand... Mtambuzi bado unakula tu mpe jibu lake labda ana nia njema tu, kwanini kumfikiria ni mvunja goti tu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mtambuzi said: Bado najiuliza ana maana gani.................Au kwa sababu sijavaa pete ya ndoa kama wengine...........!? Click to expand... Mtambuzi bado unakula tu mpe jibu lake labda ana nia njema tu, kwanini kumfikiria ni mvunja goti tu.
gambachovu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,854 Reaction score 293 Apr 26, 2012 #46 TaiJike said: Mtambuzi bado unakula tu mpe jibu lake labda ana nia njema tu, kwanini kumfikiria ni mvunja goti tu. Click to expand... Taijike hapa nakudai matibabu ya mbavu zangu: 1 imevunjika kabisa 3 zimepata kreki (kwa mujibu wa X-ray) na 4 zinashekisheki! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TaiJike said: Mtambuzi bado unakula tu mpe jibu lake labda ana nia njema tu, kwanini kumfikiria ni mvunja goti tu. Click to expand... Taijike hapa nakudai matibabu ya mbavu zangu: 1 imevunjika kabisa 3 zimepata kreki (kwa mujibu wa X-ray) na 4 zinashekisheki!