Niko kwenye mghahawa mmoja katikati ya jiji, na niko peke yangu.....................Ghafla natupiwa swali hilo na muhudumu anayenihudumia.................
Hivi kwani haiwezekani mwanaume kwenda kula kwenye mghahawa peke yake..................Lilikuwa ni swali la kijinga eh!
Kama ana tageti basi itakula kwake.............huyu atakuwa hamjui GUSTAVO huyu....................
Mimi nilikuwa mkware kiboko ya mambo......................Kwanza nina watoto humu, nisije nikaharibu..............LOL
Jamani nimesema nitamjibu baadae kidogo...........Nikimaliza kula namtolea Lap Top namuonyesha picha zetu za Harusi.........Kuna ubaya gani kuonyesha ushahidi?