big result now....!!!??
Ndo tatizo la kuingiza siasa kwenye elimu, leo darasa la 4 tumewafanyisha mtihani wa kifaransa japo hatujawahi kuwafundisha hata ck moja.
Na bado, kichina, kikorea na kihindi kinakuja, tunataka watoto wetu waweze kushindana kimataifa.
Hizo ndio big result now.