Sam Mahela wa ITV na kipindi cha upande mmoja

Kipindi kimepunguza mvuto sana.....kwa nn wasijifunze kwa kale kazungu ka BBC hardtalk...aiseee....jamaa huwa anajiandaa,anakuja na facts hata za miaka 10 nyuma....waweza rusha ngumi....
 
Ubarikiwe dhambi mbaya sana.........wewe mwelewa sana haaaaall
 
Yani hichi kipindi tangu alipotoka yule Emmanuel buholela aliye pelekwa ikulu na kutokua Live ...na kibaya zaid akapewa huyu fala mahela ambaye hana identity yake kazi kum copy kikeke ..niliisha achana nacho kabiiisa.. Hawa wanafaa kubaki Tu kuwa mareporter sio kuhost hivi vipindi . kwenye haya mambo naangaliaga V.o.A Tu yule Shaka sio MTU mzuri anajua vingi saaana na angle zote za kukuuliza sio hawa wapuuzi wetu
 
hakuna asiyependa ukuu wa mkoa au wilaya jamani
 
Upo vizuri kidogo
 
nchi hii sio waandishi wala watu wa kawaida wengi ni wanafiki ndio maana ukifatilia waandishi wengi hawajui kuuliza maswali hawajui kudadisi wao kipengele pekee wanachoweza ni kuwapongeza serikali
 
Upepo mazeeee, keshausoma.
Vinginevyo njia ya kwenda chooni itaota nyasi.
 
umejuaje kama zipo?
 
Anatakiwa aulize swali siyo kutangulia kwenye jibu la swali. Mara nyingi anamuuliza mhusika swali hapo hapo anampa jibu.
 
Kwakusema ukweli sikumbuki lini niliangalia tv naona habari ZA humu jamvini zinafikirisha
 
VIPINDI VINGI VYA ITV VINAHITAJI UBORESHAJI ...MFANO USOMAJI WA MAGAZETI TUNAMUONA ZAIDI MTANGAZAJI SUTI NA TAI/AU MAKE UPS BADALA YA GAZETI HUSIKA...chukua mfano wa Channel ten...badilikeni guys msg mnatumiwa lakini Mhavile ndio keshafika sio msikivu...
 
Biashara kwa upande mmoja na weredi kwa upande wa pili. Mzani umelalia upande wa kwanza.
 
Hiki kipindi siku hizi kikianza tu, nabadilisha Channel - Nakumbuka enzi za Jenerali on Monday pale channel Ten enzi hizo kilikuwa na mvuto wa pekee bila kuegemea upande wowote.
 


nimecheka sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…