Ni Kweli Hata Mimi Nimeliona Hilo Tatizo Na Siyo Leo Bali Amekuwa Nalo Mara Kwa Mara. Tatizo Linalomsumbua Sana Sam Mahela Kitaalam Linaitwa Studio Camera Fever Na Linatibika Tu Kwa KUJIAMINI Na KUTOJISHTUKIA. Wanapokufunzwa Huko Vyuoni Hao Vijana Huwa Wanaambiwa Kuwa Wakiwa Either Redioni Or Runingani Wakitangaza Kwamba Wawe Wanawaza Tu Kama Vile Wanamtangazia Mtu Mmoja Na Hapo Huko KUJISHTUKIA au AIBU Hutoweka. Ila Tambueni Pia Kuwa Level Ya Confidence / Self Esteem Hutofautiana Kwa Binadamu Mmoja Na Mwingine Kwani Psychologically Kuna MIJITU Mingine MISHIPA Yao Ya AIBU Ilishakatwa Tokea Wakiwa Tumboni Mwa Mama Zao Na Kuna Wengine Wana Natural Confidence Ila Wengine Ndiyo Hivyo Tena Type Za Akina Sam Mahela. Kwa Mfano Mwangalieni Mtangazaji Kijana Na Mdogo Kabisa Wa ITV Ambaye Husoma News Bulletin Aitwae Benjamin Mzinga Alivyo Na Confidence Ya AJABU Na NZURI Lakini Mtizameni NGONGOTI Na NJEMBA Sam Mahela Linavyojiharahara Na Kutetemeka Hovyo.