Hapana ndugu ni maoni yangu pia nikataka na wewe uamue nani anafaa.Amekutuma umfanyie kampeni?? Au ni wewe mwenyewe Mahela umeingia kisengerenyuma kwenye mtandao huu!!
Ufoo Saro wa i.t.v
Amekutuma umfanyie kampeni?? Au ni wewe mwenyewe Mahela umeingia kisengerenyuma kwenye mtandao huu!!
sam mahera anastahili alimsaidia sana yule mama aliyekuwa kavimba mguu na kukata tamaa ya maisha , alisaidia akapelekwa india na sasa mama yu mzima wa afya, mungu amjalie kijana sama afya njema na baraka zake.
asije kupotezwa tu maana siku hizi bongo usiongee ovyo utaumbuka.. #heriyaijumaakuuwana jf kwa mambo na jitihada alizo zifanya sam maela na jinsi anavyo zidi kupambana na kufuatilia habari za kusisimua kwenye jamii kwa upande wangu juu ya maoni yangu alistahili kupigiwa kura na watanzania.Je ww unaona nani anafaa toa maoni yako juu.
Ufoo Saro mm ndio naona anafaa
Kama wataangalia vigezo vya kuchangishia wagonjwa na kupata misaada basi na Ufoo Saro naye ataanza na hakika hatakosa kupata wagonjwa.
Mimi naona tuwaachie Majaji wao wana vigezo vyao na jumla ya habari walizozitoa kwa jamii