msondomba JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,928 Reaction score 2,443 May 10, 2020 #21 Wazee wa kubeti ule ndio balaa Sent using Jamii Forums mobile app
Adamjuma94 JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,292 Reaction score 4,752 May 10, 2020 #22 Nimependa uzi wa like jinsi unavyozidi kukua umekuwa sehemu ya kupata habari tofauti tofauti na pia hacks. Pia kuna uzi ambao tunaupitia kimyakimya ahhh sio ule mwingine,enhee huo huo ndiyo.Tunaupitia kimya kimya sio masihara mkuu
Nimependa uzi wa like jinsi unavyozidi kukua umekuwa sehemu ya kupata habari tofauti tofauti na pia hacks. Pia kuna uzi ambao tunaupitia kimyakimya ahhh sio ule mwingine,enhee huo huo ndiyo.Tunaupitia kimya kimya sio masihara mkuu