mganga wa roho
Member
- Jul 1, 2014
- 53
- 22
Wewe unavyoona gari ndio kitu cha maana sana unadhani wote?
Unajuaje kama hilo gari hana?.
Hahaha
Wewe unavyoona gari ndio kitu cha maana sana unadhani wote?
Unajuaje kama hilo gari hana?.
Haha
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.Aisee.. salon nzuri ila maelezo haba
Kwanini isiwezekane?! Issue sio faida bali possible maximum profit! Tuseme kwa siku unalaza 50K, ina maana kwa mwezi una 1.5M; hiyo ni faida!Hivi inawekana kweli biashara inayokupa faida uiuze ili ufungue nyingine? Yaani wewe hutaki kuwa na biashara nyingi kama mpendwa wetu Dr Mengi?
Pole sana mkuu siku hizi tunanyolea nywele majumbani mwetu tena tunapiga para tuu saloon mara chache sana chezea vyumaHabari za majukumu!
Nauza salon ya kiume ikiwa na kila kitu chake ndani kama vinavyoonekana katika picha.
Hiyo salon ipo maeneo ya Banana kituoni .
Bei ni 6,000,000/= maongezi yapo.
Ipo kwenye eneo lenye watu wengi.
Kwa anayehitaji tuwasiliane Kwa 0739025947.
Karibuni. Bei maelewano.View attachment 1093250View attachment 1093251View attachment 1093252View attachment 1093253View attachment 1093255
Jambo lililo jema ni kwamba hii SALON siiuziii shida . Na ninaiuza kama ilivyo na vitu vyote vilivyomo ndani. Mwenye kuhitaji hii Salon ndiyo atakayeinunua.
Wenye akili timamu watakuwa wamenielewa.
Karibuni.
Wahudumu wa kusafisha ni jukumu lako kuwaajili.