Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Nagojea Taazia ya mzee mohamedsaidi.Nenda mwanakwenda Shamte. Ulimdhulumu sana Uncle wangu, akawa demoted, wewe na akina Marehemu Ibrahim Kaduna, mkamfanya aishi maisha magumu na ya stress sana. Mkadhulumu haki miliki za tafiti zake, aligundua jinsi ya kutengeneza pombe kwa kutumia maji ya mkonge, chakula cha kuku kwa kutumia mabaki ya mkonge na umeme kwa kutumia maji maji ya mkonge.
aliandika vitabu kuhusu mkonge lakini hakufaidika navyo. Alinieleza haya 2007 na mwaka huo huo akapata stroke, nilimuuguza Tanga, mkashindwa kumlipia hata Ambulance kutoka Tanga to Muhimbili.
nilipowatafuta kwa ajili ya matibabu yake mkaishia kunipa Tzs 50,000. Mzee Shamte unakumbuka siku ile uliniita pale fire? Ukampa dereva bahasha yenye hio pesa?
Baadae ali-recover bado mkagoma kumlipia bill, na MKUMBUKE alistahili sio kwamba ilikua fadhila.
Siku moja jioni ya 12 tukiwa tumerudi kutoka kwenye mazoezi ya viungo pale Morocco Physiotherapy clinic, STARTV wakawa wanaonyesha kipindi cha mkonge na walionyesha hizo products ambazo huyu mzee wangu ndio alikua amwzifanya yeye ila zilitangazwa kama vile ni kazi iliyofanywa na mtoto wa Shamte. Kwakuwa nilikua nine Shaun vanish a dots, nikachukua remote nikataka kubadili Chanel, ananiambia nisiondoe.
Next day akiwa kwenye mazoezi napata second stroke na ndio ikawa mwisho wake. Akina Shamte bado walishindwa hata kumsafirisha.
sina nia mbaya, kifo ni kifo but kwa kusema haya naamini nimemtendea haki Marehemu Mentor wangu. He was a true friend of Mine.
kwahiyo?RIP Salum Shamte. Yanatokea haya kwenye nchi ambayo haijali utwala wa sheria. Katiba imetamka wazi wazi kuwa mshtakiwa yeyote asichukuliwe kuwa ana hatia mpaka Mahakama itakapothibitisha.
Huyu Salum Shamte alituhumiwa, akapewa mashtaka yasiyo na dhamana. Afya yake haikuwa nzuri na amekosa huduma za matibabu akiwa rumande.
Uncle G my best friend will rest in peace.. The best uncle ever.. I remember those last days... And that dreadful morning alipoanguka pale Morocco kwenye mazoezi...Nenda mwanakwenda Shamte. Ulimdhulumu sana Uncle wangu, akawa demoted, wewe na akina Marehemu Ibrahim Kaduna, mkamfanya aishi maisha magumu na ya stress sana. Mkadhulumu haki miliki za tafiti zake, aligundua jinsi ya kutengeneza pombe kwa kutumia maji ya mkonge, chakula cha kuku kwa kutumia mabaki ya mkonge na umeme kwa kutumia maji maji ya mkonge.
aliandika vitabu kuhusu mkonge lakini hakufaidika navyo. Alinieleza haya 2007 na mwaka huo huo akapata stroke, nilimuuguza Tanga, mkashindwa kumlipia hata Ambulance kutoka Tanga to Muhimbili.
nilipowatafuta kwa ajili ya matibabu yake mkaishia kunipa Tzs 50,000. Mzee Shamte unakumbuka siku ile uliniita pale fire? Ukampa dereva bahasha yenye hio pesa?
Baadae ali-recover bado mkagoma kumlipia bill, na MKUMBUKE alistahili sio kwamba ilikua fadhila.
Siku moja jioni ya 12 tukiwa tumerudi kutoka kwenye mazoezi ya viungo pale Morocco Physiotherapy clinic, STARTV wakawa wanaonyesha kipindi cha mkonge na walionyesha hizo products ambazo huyu mzee wangu ndio alikua amwzifanya yeye ila zilitangazwa kama vile ni kazi iliyofanywa na mtoto wa Shamte. Kwakuwa nilikua nine Shaun vanish a dots, nikachukua remote nikataka kubadili Chanel, ananiambia nisiondoe.
Next day akiwa kwenye mazoezi napata second stroke na ndio ikawa mwisho wake. Akina Shamte bado walishindwa hata kumsafirisha.
sina nia mbaya, kifo ni kifo but kwa kusema haya naamini nimemtendea haki Marehemu Mentor wangu. He was a true friend of Mine.
"Mzee Shamte unakumbuka siku ile uliniita pale fire? Ukampa dereva bahasha yenye hio pesa?"
Pole sana ila marehemu hasikii sasa unaposena kuwa ana kumbuka inashangaza kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo hivyokwahiyo?
Kama ni kweli icho usemacho basi na hao waliomuondoa kwenye iyo nafasi nao wakumbuke Qul nafsi dhalkatul mauti,Nao pia watakufa muda na saa waijuayo ni Israiri mtoa roho,Ni jambo la kusikitisha kuwa Bwana Shamte amekufa akiwa "mfungwa" ambaye hakuwa amepata nafasi ya kujitetea ....ili kuongea upande wake mahakamani, tumesikia habari za upande mmoja ambazo ndio kama zilikuwa zimemuhukumu .....amekufa akiwa bado yuko ndani kwa makosa ambayo hayana dhamana na ilibidi kupelekwa pale na Magereza kwakua bado alikuwa kizuizin
KOSA LA SHAMTE NI KUWA MWENYEKITI WA TPSF ....ALIKUWA AMESHAONYESHA WAZI KUWA HAMTAKI NA ALITUMIA NJIA HIYO KUMUONDOA ...KWA MUDA WOTE AMBAO SHAMTE AMEKUA MWENYEKITI WA TPSF ...AMEKUWA AKIRUKWA KWENYE MAMBO MENGI YA KIKAZI TOKA JUU NA BADALA YAKE AMEKUWA AKITUMIWA MAKAMU WAKE ...AMBAYE "WANAONGEA LUGHA MOJA" ....NA NDIYE AMEKUWA AKIPELEKA MANENO YOTE YA UCHONGANISHI YALIYOFANIKISHA SHAMTE KUPINDULIWA PALE KWA HIYO KESI ILI ASIWE KIONGOZI WA WAFANYABIASHARA
Kila mtu anavuna anayopanda. Tusisingizie awamu hii kama sisi wenyewe tuna issues
Uncle G my best friend will rest in peace.. The best uncle ever.. I remember those last days... And that dreadful morning alipoanguka pale Morocco kwenye mazoezi...
Karma us BITCH... Uncle died with dignity but shamte died in shame.....
Jr[emoji769]
Shamte aliyeko gerezani kwa kesi ya uhujumu, utakatishaji na ukwepa kodi wa kampuni ya mawasiliano ana uhusiano gani na marehemu?
Au yule alishatoka (kesi ya kina Ringo Tenga) ??
Hata Ramadhan Dau lazima andike Tanzia. Wote walikuwa wapigaji tu wa mali za umma. Kama Binadamu mwenzangu pumzika kwa amani Mzee ShamteNagojea Taazia ya mzee mohamedsaidi.
Muislam bilionea amefariki lazima atie neno ,wapi alikutana nae iwe msikiti wa mtoro au pale tanga mjini
Na mchango wake katika uislamu
Apumzike anapostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Naikumbuka vizuri sana ile siku! R.I.P UncleUncle G my best friend will rest in peace.. The best uncle ever.. I remember those last days... And that dreadful morning alipoanguka pale Morocco kwenye mazoezi...
Karma us BITCH... Uncle died with dignity but shamte died in shame.....
Jr[emoji769]
Huyu ni wa mkonge Tanga
Kwa hiyo ukiwa John kumtetea Paulo ni udini na ikiwa hamisi kumtetea juma ni udini au hebu fafanuaUkimuona ananyanyua mdomo angalia anamtetea nani
Unajiwekea kinga ili ukifa usidhiakiwe, tenda yaliyo mema mkuu huku kwetu maiti zinacharwazwa viboko!Katika maisha usibeze maiti, Mungu akupe nguvu na busara ya kutambua hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaNenda mwanakwenda Shamte. Ulimdhulumu sana Uncle wangu, akawa demoted, wewe na akina Marehemu Ibrahim Kaduna, mkamfanya aishi maisha magumu na ya stress sana. Mkadhulumu haki miliki za tafiti zake, aligundua jinsi ya kutengeneza pombe kwa kutumia maji ya mkonge, chakula cha kuku kwa kutumia mabaki ya mkonge na umeme kwa kutumia maji maji ya mkonge.