Salum Mwalimu wa CHADEMA, amtembelea Meya na Mkurugenzi wa Arusha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA SALIMU MWALIMU AMTEMBELEA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA PAMOJA NA MEYA
IMG_6147.JPG

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salimu Mwalimu Salimu akifafanua jambo kwa Naibu Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro katika ziara yake ya kumtembelea Meya huyo,Kulia ni Afisa Habari wa CHADEMA Taifa,Tumaini Makene
IMG_6185.JPG

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salimu Mwalimu Salimu akiteta jambo na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Juma Idd alipomtembelea Ofisini kwake jana,Kulia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa Amani Golugwa
IMG_6189.JPG



Chanzo: Woinde
 
Ccm chama chetu wanatufanyia vibaya sana yaani pamoja na uwepo wa bunge dodoma Hakuna ishu ya maana borea arusha kwa ndugu zangu chadema
 
Arusha ni Nchi iliyokamilika ikiongozwa na Rais lema na wabunge na madiwani na mameya wao .Tanzania msiwaingilie Nchi ya Arusha.


swissme
 
Back
Top Bottom