Sasa aku pm iweje.
We kama kuna kitu unataka ku share basi weka hapa watu wachangie.
Sio kila kitu mmiliki wa salon aanakijua,na ndio maana hata wewe unamiliki salon lakini kuna kitu unataka kujua.
Fahama kwamba pia wateja na hasa ambao wamehwahi kutumia salon nje ya nchi wanaweza kutoa mchango kuliko hata mmiliki.
Mmiliki wa salon anatagemea customer`s demand ili aboreshe huduma.Na ndio maana anasikiliza zaidi wateja kuliko kutumia ufaham wake.
Mimi ninayo nipm wewe unachotaka kujua. But fahamu Jf ni kwa faida ya wote sasa hizi pm tusizitumie vibaya. But nakuhakikishia usiri kwa utakachouliza.