mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Duuh kama ndio hivi bora ajitoe kwnye iyo ndoa haramupale wasafi kuna watu watatu au unaweza kuuita utatu mtakatifu, ambao ni sallam, babu tale na saidi fella.
ukiondoa ushirikina wao, fitna na propaganda zao ambazo kwa mda mrefu wamekuwa wakizitumia ku monopolize music industry ya tanzania, kazi nyingine kubwa pale wasafi ni kujineemesha kwa kupitia wasanii walio chini ya lebel ya wasafi.
unakuta kwa mfano malipo ya show moja ya rayvanny, hao wote watatu kila mmoja ana parcent yake na hajaitolea jasho. nampongeza sana harmonize kwa kuachana na hao wapuuzi watatu. na ninamsifu kwa ku sign chini ya jembe jembe.
najua sallam na wapuuzi wenzie hawatakubali kushindwa kirahisi, lazima watajiribu kutaka kumvurigia deal lake la harmonize ila hawataweza maana jamaa pia ni born town, ana connection kubwa na pesa ya kula anayo.
hawa wapuuzi watatu kiboko yao alikuwa marehemu ruge mutahaba the master minder. rest in peace ruge.
Dua la kuku........... kwani mtu akikua c anaondoka kwa wazazi wake mbona mmemuwekea kinyongo au lebo ndo inamtegemea yeye akiondoka kuna mkwaja utakata???
Unamaanisha nini?Jembe hatokula hela ya mmakonde anatembea nae tu
Kwa hiyo unafananisha kukua kwa wazazi na kukua kimziki?Dua la kuku........... kwani mtu akikua c anaondoka kwa wazazi wake mbona mmemuwekea kinyongo au lebo ndo inamtegemea yeye akiondoka kuna mkwaja utakata???
Kama mtu humjui ucjifanye unamjua sana,kwa kigezo gani mpaka uniite dogo! Anyway yatakuwa sio makosa yako na kama nisingekuwa naijua nisingeandika nilichoandika!We Dogo huijui wcb kaa kimya , unaijua kupitia Instagram ..
Hakika mkuu! Macho yetuMkuu achana nae huyo, hawa ndo huwa wanaamini mchezaji ni mkubwa kuliko team... Watu wanaoangalia final product (music) wanaweza kuona kama Harmonize ni mkubwa, ila kiuhalisia bila management ya wcb huyo Harmonize angeendelea kuuza mitumba tandale hadi leo.. Harmonize kakosea sana kubadili management, Kina Sallam hawana issue nyingine kubwa za kuwaingizia kipato zaidi ya kusimamia wasanii wao, wanaspend time yao 100% kwenye music wa wasanii wao, ila hiyo management ya sasa ya Harmonize ni watu ambao tayari wana channel zao za pesa, watakua na muda kidogo wa kusimamia msanii wao, na hapo ndo Harmonize atakapoanza kupotea.. Harmonize Hawezi kuwaingizia pesa zaidi ya wanazoingiza sasa kwenye Miradi yao.
Ushasema kwako ndo bora sasa wataka kutuaminisha tumuamini wakati tunamuona anachokifanya ni bure na anatumia mbeleko ya WCB.Wewe ni kati ya wasioujua muziki lakini una ujuaji mwingi ilhali huna ulijualo.
Unasema Lavalava sio msanii na nyimbo zake hazieleweki? Mimi sio shabiki wa hiyo WCB yenu ila Lavalava ndio msanii wangu bora pale WCB na hizo nyimbo zake unazosema huzielewi ndio nimejua hujui muziki.
Unathubutuje kusema mtu mwenye vibao vitamu kama Bora Tuachane, Utatulia, Go Gaga na wimbo wangu bora wa muda wote kwa Lavalava, Kilio sio msanii?
Wewe jamaa umejua kuniharibia asubuhi yangu!
Potelea mbali bora pengo kuliko jino bovu, hawezi kuwagawia watu 5 wote kwa hicho kiduchu anachopataJembe hatokula hela ya mmakonde anatembea nae tu
nani aliyemfanya apate hicho kiduchu ?Potelea mbali bora pengo kuliko jino bovu, hawezi kuwagawia watu 5 wote kwa hicho kiduchu anachopata
Ni Sawa na pia si kigezo cha kuendelea kupata hiko kiduchu mwache akajaribu pengine maadam ameondoka vizuri atarudi tu kuomba kuingia tena au akamwombe hata Vanessa Mdee au Nandy kushirikiana naonani aliyemfanya apate hicho kiduchu ?
hivi mmesahau mmakonde alikua house girl wa domo ?
Hajuagi chochote huyo Tapeli,zaidi ya matusi tu.Kama mtu humjui ucjifanye unamjua sana,kwa kigezo gani mpaka uniite dogo! Anyway yatakuwa sio makosa yako na kama nisingekuwa naijua nisingeandika nilichoandika!
Mambo yakiwa magumu anaruhusiwa kurudi?Dua la kuku........... kwani mtu akikua c anaondoka kwa wazazi wake mbona mmemuwekea kinyongo au lebo ndo inamtegemea yeye akiondoka kuna mkwaja utakata???
Wabongo wakipata wasahau ulikowatoanani aliyemfanya apate hicho kiduchu ?
hivi mmesahau mmakonde alikua house girl wa domo ?
Yani watu wanashindwa kujifunza kulingana na makosaAmenikumbusha tekno aliacha mtengenezea ngoma davido akaamua kuingia front kuimba ......leo hii ni historia
Mzee baba m cina upande Lkn huwa waswahili wana sema dalili ya mvua n mawingu km anaweza kujisimamia mwenyewe sio mbaya Lkn inabid acheze na upepoNi wakati wa Konde boy kula kwa jasho lake,
Kila jema limtangulie In Shaa Allah/
Anatakiwa kupigana sana hakuna mtelezo tena,
Kutofanya vizuri kwa project yake na Chilla aichukue kama tahadhal ya kilichopo mbele yake.
Yo still a little popy on this dude , take some pills.Kama mtu humjui ucjifanye unamjua sana,kwa kigezo gani mpaka uniite dogo! Anyway yatakuwa sio makosa yako na kama nisingekuwa naijua nisingeandika nilichoandika!