Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,130 Reaction score 48,862 Sep 11, 2017 #21 nover said: Asanteni wote kwa ushauri... Kuna transaction ilifanyika kimakosa tayar wameirekebisha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Walitaka kukupiga.
nover said: Asanteni wote kwa ushauri... Kuna transaction ilifanyika kimakosa tayar wameirekebisha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Walitaka kukupiga.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,200 Reaction score 22,307 Sep 11, 2017 #22 nover said: Asanteni wote kwa ushauri... Kuna transaction ilifanyika kimakosa tayar wameirekebisha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Oh okay sasa wamesema nani alifanya kimakosa iyo TRANSACTION??katka acnt yako??
nover said: Asanteni wote kwa ushauri... Kuna transaction ilifanyika kimakosa tayar wameirekebisha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Oh okay sasa wamesema nani alifanya kimakosa iyo TRANSACTION??katka acnt yako??
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,649 Reaction score 21,523 Sep 11, 2017 #23 Si ungepiga call Centre yao wangekusaidia hapa wala hatujui systems zao zinavyofanya kazi Sent using Jamii Forums mobile app
Si ungepiga call Centre yao wangekusaidia hapa wala hatujui systems zao zinavyofanya kazi Sent using Jamii Forums mobile app
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,649 Reaction score 21,523 Sep 11, 2017 #24 nover said: Nimeongea na Huduma kwa Wateja wananiambia kuna mtu alienda akachukua fedha jumatatu zaidi ya milioni 5 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mbona unachanganya hesabu mara balance mil 4 mara mtu amedraw mil 5. Kuwa mkweli wengine makachero humu ukituchanganyia data unatuvuruga na kuonekana mhongo nover said: Natamani iwe ivo manake nimechanganyikiwa saiv apa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
nover said: Nimeongea na Huduma kwa Wateja wananiambia kuna mtu alienda akachukua fedha jumatatu zaidi ya milioni 5 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mbona unachanganya hesabu mara balance mil 4 mara mtu amedraw mil 5. Kuwa mkweli wengine makachero humu ukituchanganyia data unatuvuruga na kuonekana mhongo nover said: Natamani iwe ivo manake nimechanganyikiwa saiv apa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 12,320 Reaction score 11,345 Sep 11, 2017 #25 Ndo benki za kiswahili hizo